The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
Ofcourse nimejibu kwa woga tu wayajayo.mungu atusaidieSio shindwa, jamaa anapoint kubwa sana. Tuache mambo ya ushabiki na tuangalie uharisia wa mambo yalivyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ofcourse nimejibu kwa woga tu wayajayo.mungu atusaidieSio shindwa, jamaa anapoint kubwa sana. Tuache mambo ya ushabiki na tuangalie uharisia wa mambo yalivyo
[emoji122][emoji122][emoji3577][emoji3577][emoji106]. Nadhani umeeleweka kamandaMbowe ni kaka wa taifa
nenda kaokoe uhai wa US wanaowatuma.Pole kwa kukutana na hawa watu wasiojali uhai wa watu. Corona imeonesha jinsi watanzania wengi walivyo na fikra za kienyeji kuanzia mkuu hadi hawa wafia-jiwe. Tunapaswa kuweka uhai mbele na sio ushabiki wa kisiasa.
[emoji849][emoji848]Ndugai analipa fadhira za kutibiwa kwa bil 12 kwa fedha za MEKO.
Mhuni na mpumbavu yupi unaweza mvumilia?
Shida kuhusu Nini au wewe una shida..Kama unashida na mmeo hizo ni private issues..lakini Kama ni suala la kitaifa, tuko sambamba na nyuma ya mhe Rais..kamanda Mkuu wa majeshi tunasonga mbele..tuko vitani. Njoo na hoja zako Kama za kitaifa mwaka 2026Nia ya huyu mtu kwa nchi yetu may be TISS na Majeshi yetu wanaijua Ila kwa akili ya kawaida tu,Kuna shida somewhere
Mbona kwenye chama chenu mtu akimsema tu mwenye kigoda anatumbuliwa?Au lazima aone cha moto hiv ulitaka Mbowe awapet pet makalio wabunge walioenda kinyume na maagizo ya CDM Uongozi ni Mamlaka na cyo kubembelezana kama Kumtongoza Binti KigoliMbowe ni mwongo, sijawahi kumwamini hata siku moja. Anatafuta public sympathy baada ya kuharibu kwa kuwafukuza wabunge wake kwenye chama, akashambuliwa na jamii!
Sema utaangamia na corona wewe, mmeo, watoto wako Kama hamchukui hatua yoyote maana naona mnasubiri wadhungu wagundue dawa ndio mnywe..naomba usituchanganye wote humo na familia yako, ukome..kabisa.Mubgu yupo nasi tulianza nae na tutamaliza naeNimejaribu kujizuia nimeshindwa.
Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.
nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.
tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?
Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?
na wakaanza kupima tena lini?
najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.
salaam.
Hivi unafikiri Ripoti hiyo utaisoma muda huo huo Rais anapoisoma? Rais anapata taarifa mapema sana hivyo kuhoji Ripoti imetoka au laah ni kukosa maarifa kwenyewe.
Je, uliambiwa upimaji usingefanyika kipindi wanafanya huo uchunguzi?
Mbona nyingi zimeshafuata..wote wanaojifanya Wana lockdown ngoja tuwaangalie, Wala hatuwacheki..hawaruhusu kama unavyofikiria wewe kuna utaratibu maalum utakao zingatiwa wa kitaalam utakaofatwa.
corona haishi leo wala kesho ni lazima maisha yaendelee huku kukiwa na tahadhari kubwa.
magufuli anaanzisha ila hamini nakwambia kuna nchi nyingi tu zita fuata,
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa muhuni huwezi kukosa sifa ya upumbavu hizi sifa mbili uhuni+upumbavu unazaa ujinga ukishakuwa mjinga hapo ndio unapokuwa unafanya Mambo/vitu/vya kijinga na hii ndio sifa ya mbowe kwahiyo naweza kumvumilia muhuni/mpumbavu ambae Ni mjingaMhuni na mpumbavu yupi unaweza mvumilia?
Hahaha, kudadeki, ngoja nichukue nchi atalimia meno na atasahurika katika ulimwengu wa siasaAngalia picha hii halafu toa maoni yakoView attachment 1452518
Hivi na mm naomba kuuliza Bw.Mpayukaji kama Kweli maabara ya Taifa ilifungwa kupisha uchunguz wa Vipimo hewa vya Kina Sara Samweli na Elizabeth Lumumba.Je Hii takwim ya kuwa Covid 19 imepungua wamepima kwa Vipimo gani?ilihali maabara ya kuchukua Sampuli Imefungwa na hku tukisubiri report ya Dr.Lyamuya?Hivi Mbowe hana washauri wamshauri kwamba hili la corona raia wamesimama na rais Magu?
Au nyie chadema mambo yenu mnafanyia utafiti wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hujaona kiapo cha Bob Marley pale! Usifikiri watu wote wanavuta SM mkuu!Hili nalo tatizo pia.🤔
Lakini wewe si Lumumba FC??? Pambana na hali yako.Nimejaribu kujizuia nimeshindwa.
Tanzania inaenda kuangamia kwa kukosa maarifa.
nilikuwa nasubiri nipewe ripoti ya mashine za kupimia ambapo kila takwimu zilizokuwa zinatoka ugonjwa ulikuwa unaongezeka maradufu.
tujiulize km wagonjwa wamepungua je tulipima wangapi na kwa mashine zipi?
Tunaomba viongozi watuambie sisi wananchi je ripoti ya ukaguzi ya mashine imetoka?
na wakaanza kupima tena lini?
najiuliza sipati majib pale mashabiki watakapojazana viwanjani, wanafunzi maskulini na wageni kuingia bila karantini hii ni jambo la kustia mno.
salaam.
UHUNI +UPUMBAVU=UJINGA???!!! Leo ndo nasikia theory hii ya ajabu!Ukiwa muhuni huwezi kukosa sifa ya upumbavu hizi sifa mbili uhuni+upumbavu unazaa ujinga ukishakuwa mjinga hapo ndio unapokuwa unafanya Mambo/vitu/vya kijinga na hii ndio sifa ya mbowe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilitokea nini?Unanikumbusha story moja mbuni alikuwa anafukuzwa na simba akaona option ya kusurvve ni kufikia kichwa chini ya mchanga akiamini amejificha kumbe body yote ipo exposed unajua nini kilitokea?
Ndio hivyo ndugu Kama ilikuwa hujuiUHUNI +UPUMBAVU=UJINGA???!!! Leo ndo nasikia theory hii ya ajabu!
Yaani mjinga anazaliwa na mpumbavu,kweli? Tuache utani basi.
MkuuKwa hilo la Covid 19 mheshimiwa Mbowe angekubali tu matokeo kwamba kazidiwa.Upamoja wa wananchi na raisi Magufuli katika hili ni ushahidi tosha kwamba Raia wapo pamoja na raisi wao.
Maadamu yeye mheshimiwa Mbowe alishalizungumza basi na aliache na hata km madhara yatakuwepo huko mbele atakuwa shujaa kwa sababu historia itamlinda.
Kwa yeye kuendelea kulisemea mara kwa mara italeta picha km analibeba hilo kama agenda ya kisiasa.
Wananchi wa wapi? Kama ni wa Tanzania hawapo pamoja nae kabsa wanajua kaachia watu waambukizane wafe kwa wingi apate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuuKwa hilo la Covid 19 mheshimiwa Mbowe angekubali tu matokeo kwamba kazidiwa.Upamoja wa wananchi na raisi Magufuli katika hili ni ushahidi tosha kwamba Raia wapo pamoja na raisi wao.
Maadamu yeye mheshimiwa Mbowe alishalizungumza basi na aliache na hata km madhara yatakuwepo huko mbele atakuwa shujaa kwa sababu historia itamlinda.
Kwa yeye kuendelea kulisemea mara kwa mara italeta picha km analibeba hilo kama agenda ya kisiasa.