KM wa CHADEMA, @jjmnyika akisoma ujumbe wa mwenyekiti @freemanmbowetz baada ya kujulishwa mbanga za zambarau na MaCCM kumtaka aombe msamaha kwa tuhuma za ugaidi. Freeman anasema yupo tayari kusibiri hata miaka 20 gerezani ili tu ukweli ujulikane hata kama mahakama haziaminiki.
“sijaomba msamaha hata nikae miaka hadi 20 sina hofu. Nipige goti nisaliti dhamiri yangu? I’ll never do, over my dead body. Niko tayari kusubiri nyuma ya kuta za gereza, sina tatizo la kuendelea na kesi, sababu ukweli utakuwa wazi hata kama mahakama haiko huru” - @freemanmbowetz.