No retreat no surrender!
Kimeumana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No retreat no surrender!
Akili ya kupima mapapaiAndiko jemà kabisa na baraka za MUNGU
KM wa CHADEMA, @jjmnyika akisoma ujumbe wa mwenyekiti @freemanmbowetz baada ya kujulishwa mbanga za zambarau na MaCCM kumtaka aombe msamaha kwa tuhuma za ugaidi. Freeman anasema yupo tayari kusibiri hata miaka 20 gerezani ili tu ukweli ujulikane hata kama mahakama haziaminiki.
“sijaomba msamaha hata nikae miaka hadi 20 sina hofu. Nipige goti nisaliti dhamiri yangu? I’ll never do, over my dead body. Niko tayari kusubiri nyuma ya kuta za gereza, sina tatizo la kuendelea na kesi, sababu ukweli utakuwa wazi hata kama mahakama haiko huru” - @freemanmbowetz.
Chadema ni chama cha kimataifaEU Mhimili wa Dunia ....Chedema ndani na Duniani
Mpakwa mafuta wa Bwana ataimarishwa na Bwana. Kamwe hawezi kusaliti Dhamira ya haki.sijaomba msamaha hata nikae miaka hadi 20 sina hofu. Nipige goti nisaliti dhamiri yangu? I’ll never do, over my dead body. Niko tayari kusubiri nyuma ya kuta za gereza, sina tatizo la kuendelea na kesi, sababu ukweli utakuwa wazi hata kama mahakama haiko huru” - @freemanmbowetz
Kwamba mzito akiwa kama dalali mbobevu alishatia kamisheni yake mfukoni sasa kamuachia jumba bovu msajili wa vyama na bosi wake? 😂😂Mzito Kabwela alichukua chake mapema, waliopoteza ni Amaleki