KM wa CHADEMA, @jjmnyika akisoma ujumbe wa mwenyekiti @freemanmbowetz baada ya kujulishwa mbanga za zambarau na MaCCM kumtaka aombe msamaha kwa tuhuma za ugaidi. Freeman anasema yupo tayari kusibiri hata miaka 20 gerezani ili tu ukweli ujulikane hata kama mahakama haziaminiki.
“sijaomba msamaha hata nikae miaka hadi 20 sina hofu. Nipige goti nisaliti dhamiri yangu? I’ll never do, over my dead body. Niko tayari kusubiri nyuma ya kuta za gereza, sina tatizo la kuendelea na kesi, sababu ukweli utakuwa wazi hata kama mahakama haiko huru” - @freemanmbowetz.
Hangaya anatoka zake Zanzibar huko anakuja kututesea kiongozi wetu Tanganyika, atajua hajui na macho yake hayoKM wa CHADEMA, @jjmnyika akisoma ujumbe wa mwenyekiti @freemanmbowetz baada ya kujulishwa mbanga za zambarau na MaCCM kumtaka aombe msamaha kwa tuhuma za ugaidi. Freeman anasema yupo tayari kusibiri hata miaka 20 gerezani ili tu ukweli ujulikane hata kama mahakama haziaminiki.
“sijaomba msamaha hata nikae miaka hadi 20 sina hofu. Nipige goti nisaliti dhamiri yangu? I’ll never do, over my dead body. Niko tayari kusubiri nyuma ya kuta za gereza, sina tatizo la kuendelea na kesi, sababu ukweli utakuwa wazi hata kama mahakama haiko huru” - @freemanmbowetz.
Zitto Kabwe kama baba mkwe wake Bulembo.Mzito Kabwela alichukua chake mapema, waliopoteza ni Amaleki
sijaomba msamaha hata nikae miaka hadi 20 sina hofu. Nipige goti nisaliti dhamiri yangu? I’ll never do, over my dead body. Niko tayari kusubiri nyuma ya kuta za gereza, sina tatizo la kuendelea na kesi, sababu ukweli utakuwa wazi hata kama mahakama haiko huru” - @freemanmbowetzKM wa CHADEMA, @jjmnyika akisoma ujumbe wa mwenyekiti @freemanmbowetz baada ya kujulishwa mbanga za zambarau na MaCCM kumtaka aombe msamaha kwa tuhuma za ugaidi. Freeman anasema yupo tayari kusibiri hata miaka 20 gerezani ili tu ukweli ujulikane hata kama mahakama haziaminiki.
“sijaomba msamaha hata nikae miaka hadi 20 sina hofu. Nipige goti nisaliti dhamiri yangu? I’ll never do, over my dead body. Niko tayari kusubiri nyuma ya kuta za gereza, sina tatizo la kuendelea na kesi, sababu ukweli utakuwa wazi hata kama mahakama haiko huru” - @freemanmbowetz.
Huko walipo wamefura ....Mbowe ashawaangushia kitu kizito ccm na patners wao
USIJIFANYE MWEMA SANA UNAMUOMBEA MBOWE KUMBE WEWE NI TAPELI RUDISHA PESA YANGU LA SIIVYO NAWEKA PICHA ZAKO NA VITAMBULISHO VYAKO VYOTE HAPA JF ILI WATU WAKUJUE KWAMBA WEEE NI TAPELI UNAYEJIFUNZA.Shida ni kwamba haki hucheleweshwa tu ila kupatikana itapatikana na jambo la kuzingatia haki hupatikana kwa maumivu makali na majibu mabaya kwa wale walioinyima haki nafasi yake tusubiri mda utasema.
MBOWE NAKUOMBEA POPOTE ULIPO MUNGU ANAKUONA NA AMESIKIA KILIO CHAKO HARUNI YUPO NJIANI KUMLAKI MUSA ILI WAENDE KWA FARAO KUOMBA KIBALI TUPATE RUHUSA YA KWENDA KAANANI, SASA WACHA FARAO AZIBE MASIKIO ATAJUA HAJUI