Chadema kwishaaa kwishaaaπ€£π€£π€£π€£π€£ Kunazidi kuchangamka huko Kwa manyumbu.
Mbowe kamatia hapo hapo hakuna kukabidhi chama Kwa wahuni,vibaraka na wapuuzi wengine.
Eti kina Mwabukusi wa TLS ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu
Eti kina Slaa na Msigwa waliokombia Chadema wakaenda CCM ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu
Mwamba tuvushe Usikubari Kuachia Chama Kwa wahuni Bora chama life wakaanzishe Cha kwao ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DEg5ivZqY2E/?igsh=MWk4aTlnZ3ljMzY2ZA==
Njoo tubanduane achana na masiasa ya akina mbowe.Embu mbandue πππ
usisahau hakuna damu ya mtu inayopotea bure. Majibu yake utayaona sooner or later !Wapumbavu Wacha Waendelee Kufa
Au sio?Njoo tubanduane achana na masiasa ya akina mbowe.
Inapotea vizuri tuu inategemea.u
usisahau hakuna damu ya mtu inayopotea bure. Majibu yake utayaona sooner or later !
Basi ccm mlivyo na akili nyembamba mnafurahi kweliπ€£π€£π€£π€£π€£ Kunazidi kuchangamka huko Kwa manyumbu.
Mbowe kamatia hapo hapo hakuna kukabidhi chama Kwa wahuni,vibaraka na wapuuzi wengine.
Eti kina Mwabukusi wa TLS ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu
Eti kina Slaa na Msigwa waliokombia Chadema wakaenda CCM ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu
Mwamba tuvushe Usikubari Kuachia Chama Kwa wahuni Bora chama life wakaanzishe Cha kwao ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DEg5ivZqY2E/?igsh=MWk4aTlnZ3ljMzY2ZA==
Wenye akili nene mnafanyaje?Basi ccm mlivyo na akili nyembamba mnafurahi kweli
Kabisa, Bora chama kifie mikononi salama kuliko kukikabidhi Kwa wasaliti.π€£π€£π€£π€£π€£ Kunazidi kuchangamka huko Kwa manyumbu.
Mbowe kamatia hapo hapo hakuna kukabidhi chama Kwa wahuni,vibaraka na wapuuzi wengine.
Eti kina Mwabukusi wa TLS ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu
Eti kina Slaa na Msigwa waliokombia Chadema wakaenda CCM ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu
Mwamba tuvushe Usikubari Kuachia Chama Kwa wahuni Bora chama life wakaanzishe Cha kwao ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DEg5ivZqY2E/?igsh=MWk4aTlnZ3ljMzY2ZA==
Hivi Lissu ni kibaraka wa nani?π€£π€£π€£π€£π€£ Kunazidi kuchangamka huko Kwa manyumbu.
Mbowe kamatia hapo hapo hakuna kukabidhi chama Kwa wahuni,vibaraka na wapuuzi wengine.
Eti kina Mwabukusi wa TLS ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu
Eti kina Slaa na Msigwa waliokombia Chadema wakaenda CCM ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu
Mwamba tuvushe Usikubari Kuachia Chama Kwa wahuni Bora chama life wakaanzishe Cha kwao ππππ
View: https://www.instagram.com/p/DEg5ivZqY2E/?igsh=MWk4aTlnZ3ljMzY2ZA==
Mabeberu (EU).Hivi Lissu ni kibaraka wa nani?
stay tuned!Inapotea vizuri tuu inategemea.
Na mbowe anapata wapi hizo pesa?Mimi sio mchaga
Ijapokuwa Chadema ipo katika milki ya kichaga.
Ninachokijua ni kuwa Chadema inaendeshwa kwa pesa za uwekezaji wa Mbowe.
Kwahiyo hakuna wa kumuondoa Mbowe Ila Mbowe huwaondoa wale wanaotaka kuwa juu yake.
Nadhani umenielewa sasa
Sina Wala sifikirii kuwa Mchanga Ili kitokee nini?
Mbowe kamatia hapo hapo Hadi vibaraka wote waombe poo.
Tanzania hatuna wapinzani aiseee...
Binafsi sikipendi chama tawala, lakini kwa mwendo huu naona kukitoa chama tawala bado tuna safari ndefu sana.
Kumsajili Lisu, Chadema Kila kata yaani hata Lisu anatembelea nyota ya Chadema ya Mbowe.Tangu mbowe awe m/kiti kuna kipi kimeongezeka! Chama kimejaza ukanda wao tu, ukabila, udini, utaifa na ukanda, aise chadema ni heri ikawa chini ya kanda zingine ila sio kaskazini
MBOWE ni kibaraka wa ccmLisu ni kibaraka wa mabeberu