BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 3,477
- 7,085
Hakuna wa kumuondoa Mbowe Chadema.Mbowe must go
Yeye ndo anauchungu na pesa zake alizowekeza ndani ya Chadema .
Yeye ndo ana maamuzi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna wa kumuondoa Mbowe Chadema.Mbowe must go
🤣🤣🤣🤣🤣 Kunazidi kuchangamka huko Kwa manyumbu.
Mbowe kamatia hapo hapo hakuna kukabidhi chama Kwa wahuni,vibaraka na wapuuzi wengine.
Eti kina Mwabukusi wa TLS ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu
Eti kina Slaa na Msigwa waliokombia Chadema wakaenda CCM ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu
Mwamba tuvushe Usikubari Kuachia Chama Kwa wahuni Bora chama life wakaanzishe Cha kwao 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DEg5ivZqY2E/?igsh=MWk4aTlnZ3ljMzY2ZA==
Hakuna wa kumuondoa Mbowe Chadema.
Yeye ndo anauchungu na pesa zake alizowekeza ndani ya Chadema .
Yeye ndo ana maamuzi.
Sina Wala sifikirii kuwa Mchanga Ili kitokee nini?Ila mkuu, wewe ni mchagga sio? Na hapo ulipo unacomment ukiwa ukanda wenu sio!!😄
Kumbuka, Chadema sio chama cha mtu mmoja au kabila moja/wachagga.
Mimi sio mchagaKwahiyo mmeamua kumuunga mkono ndugu yenu wa ukanda wenu
🤣🤣🤣🤣🤣 Kunazidi kuchangamka huko Kwa manyumbu.
Mbowe kamatia hapo hapo hakuna kukabidhi chama Kwa wahuni,vibaraka na wapuuzi wengine.
Eti kina Mwabukusi wa TLS ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu
Eti kina Slaa na Msigwa waliokombia Chadema wakaenda CCM ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu
Mwamba tuvushe Usikubari Kuachia Chama Kwa wahuni Bora chama life wakaanzishe Cha kwao 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DEg5ivZqY2E/?igsh=MWk4aTlnZ3ljMzY2ZA==
Km yanayosemwa ni kweli kuwa Kuna mkono wa chama kikuu, basi hajatokaMbowe safari hii atacheka, lissu shikilia hapohapo keshatepeta huyu makonyagi!
🤣🤣🤣🤣🤣 Kunazidi kuchangamka huko Kwa manyumbu.
Mbowe kamatia hapo hapo hakuna kukabidhi chama Kwa wahuni,vibaraka na wapuuzi wengine.
Eti kina Mwabukusi wa TLS ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu
Eti kina Slaa na Msigwa waliokombia Chadema wakaenda CCM ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu
Mwamba tuvushe Usikubari Kuachia Chama Kwa wahuni Bora chama life wakaanzishe Cha kwao 😂😂👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DEg5ivZqY2E/?igsh=MWk4aTlnZ3ljMzY2ZA==
🤣 🤣 🤣Ukisikia U. T. I sugu ndo hii sasa 🤒🤒.

Wapi?
Mwambie Mbowe amkabizi chama baba Yako sasa, unaongea kama kuku mwenye kideli,Mbowe usithubutu kuwakabidhi wahuni chama, watanzania watakulaani - maliza muda wako na kama itakupemdeza basi 2030 iache CDM kwa mtu anayefaa kuwa kiongozi thabiti ashike usukani - hawa waliondandia train kwa.mbele wasikutishe.
Lipumba ni mwenyekiti wa kudumu wa CUF ila wapo kimya hawasemi aondoke kwamba muda wake ushatosha.
Haka ka mchezo hakatakagi hasira...jamaa yenu si kaingia na miguu miwili sasa subiri BOX litakavyo muumbua.Un
Mwambie Mbowe amkabizi chama baba Yako sasa, unaongea kama kuku mwenye kideli,
Please use your brain wise,wewe utakuwa na ubongo wa nguruwe
Suala si uchaga, suala ni kwamba ukitaka uongozi wa taasisi yoyote ile ambayo na wewe ni sehemu ya uongozi ni lazima uwe makini sana..Mchaga na madaraka ni damu damu
Tunajua ujinga wenu, Those who vote are not going to decide the winner but those who Count the vote. Tumejiandaa sana mkiiba Kwa box 🎁 tutawapiga public chama life kabisa, hii ni trailer tutagawana chama,Haka ka mchezo hakatakagi hasira...jamaa yenu si kaingia na miguu miwili sasa subiri BOX litakavyo muumbua.
Nalijua ila mbowe mlafi bhna ila lissu hafai kuwa kiongozi aache uvivu wa kuchambua sheria uongozi hauweziSuala si uchaga, suala ni kwamba ukitaka uongozi wa taasisi yoyote ile ambayo na wewe ni sehemu ya uongozi ni lazima uwe makini sana..
Sasa ni hivi CDM washamaliza uchaguzi sasa hivi wanapanga namna ya kupunguza dhoruba baada ya uchaguzi - hili nalo hulijui??
Tutakutajia wahisaji wote kuanzia mwaka 2015, waliochangia chama mjomba wenu hakufikisha pesa na zingine anakopesha anadai ni zake tulizeni midomo,Suala si uchaga, suala ni kwamba ukitaka uongozi wa taasisi yoyote ile ambayo na wewe ni sehemu ya uongozi ni lazima uwe makini sana..
Sasa ni hivi CDM washamaliza uchaguzi sasa hivi wanapanga namna ya kupunguza dhoruba baada ya uchaguzi - hili nalo hulijui??
Ha ha ha kijana pole sana, yaani muiteni hata meneja wa Clubhouse aje kuwa wakala wa mgombea wenu.Tunajua ujinga wenu, Those who vote are not going to decide the winner but those who Count the vote. Tumejiandaa sana mkiiba Kwa box 🎁 tutawapiga public chama life kabisa, hii ni trailer tutagawana chama,
#Samaki ana mengi ya kuongea sema ana maji mdomoni