Mbowe: Siwezi kung'atuka CHADEMA wala kujiuzulu, mimi sio Nyerere

Mbowe: Siwezi kung'atuka CHADEMA wala kujiuzulu, mimi sio Nyerere

Na chama cha majizi ya kura ndio mnamuunga mkono Mbowe kuendelea kuwepo kama mwenyekiti chama.
 
Hata ingekuwa mimi nisingemuachia mtu chama wakati simkubali, hana itikadi zinazoendana na ninachotaka, ndivyo waafrika tunavyoachiana madaraka.
 
Ndio wajua leo. Mimi tangu walivyomfurumusha Slaa ili aingie yule mgombea kutoka CCM na wapige pesa zake sina hamu nao. Mpaka hapo naamini hakuna chama kinaitwa cha upinzani bali ni matawi ya CCM ili nchi ionekane ina mfumo wa vyama vingi hivyo misaada ya EU, Commnwealth na USAID iendelee kuingia na kunenepesha matumbo yao. Shubhaaamit!
Sahihi
 
Back
Top Bottom