Mbowe: Siwezi kung'atuka CHADEMA wala kujiuzulu, mimi sio Nyerere

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
🤣🤣🤣🤣🤣 Kunazidi kuchangamka huko Kwa manyumbu.

Mbowe kamatia hapo hapo hakuna kukabidhi chama Kwa wahuni,vibaraka na wapuuzi wengine.

Eti kina Mwabukusi wa TLS ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu

Eti kina Slaa na Msigwa waliokombia Chadema wakaenda CCM ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu

Mwamba tuvushe Usikubari Kuachia Chama Kwa wahuni Bora chama life wakaanzishe Cha kwao 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DEg5ivZqY2E/?igsh=MWk4aTlnZ3ljMzY2ZA==
 
Wewe unawasha nini si tulia huko uliko.
 
Mbowe usithubutu kuwakabidhi wahuni chama, watanzania watakulaani - maliza muda wako na kama itakupemdeza basi 2030 iache CDM kwa mtu anayefaa kuwa kiongozi thabiti ashike usukani - hawa waliondandia train kwa.mbele wasikutishe.

Lipumba ni mwenyekiti wa kudumu wa CUF ila wapo kimya hawasemi aondoke kwamba muda wake ushatosha.
 
Tanzania hatuna wapinzani aiseee...
Binafsi sikipendi chama tawala, lakini kwa mwendo huu naona kukitoa chama tawala bado tuna safari ndefu sana.
Ndio wajua leo. Mimi tangu walivyomfurumusha Slaa ili aingie yule mgombea kutoka CCM na wapige pesa zake sina hamu nao. Mpaka hapo naamini hakuna chama kinaitwa cha upinzani bali ni matawi ya CCM ili nchi ionekane ina mfumo wa vyama vingi hivyo misaada ya EU, Commnwealth na USAID iendelee kuingia na kunenepesha matumbo yao. Shubhaaamit!
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Kunazidi kuchangamka huko Kwa manyumbu.

Mbowe kamatia hapo hapo hakuna kukabidhi chama Kwa wahuni,vibaraka na wapuuzi wengine.

Eti kina Mwabukusi wa TLS ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu

Eti kina Slaa na Msigwa waliokombia Chadema wakaenda CCM ndio wapiga Kampeni wa kibaraka Lisu

Mwamba tuvushe Usikubari Kuachia Chama Kwa wahuni Bora chama life wakaanzishe Cha kwao 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DEg5ivZqY2E/?igsh=MWk4aTlnZ3ljMzY2ZA==

Sema Mkuu una ujinga ujinga sana.
 
Mbowe usithubutu kuwakabidhi wahuni chama, watanzania watakulaani - maliza muda wako na kama itakupemdeza basi 2030 iache CDM kwa mtu anayefaa kuwa kiongozi thabiti ashike usukani - hawa waliondandia train kwa.mbele wasikutishe.

Lipumba ni mwenyekiti wa kudumu wa CUF ila wapo kimya hawasemi aondoke kwamba muda wake ushatosha.
Prof Lipumba alikuwa Mshauri wa Rais Mwinyi Ikulu na Freeman Mbowe ni Dj tu kama madj waliojazana Hapo Clouds

Umeiona tofauti? 😂😂😂
 
Mbowe usithubutu kuwakabidhi wahuni chama, watanzania watakulaani - maliza muda wako na kama itakupemdeza basi 2030 iache CDM kwa mtu anayefaa kuwa kiongozi thabiti ashike usukani - hawa waliondandia train kwa.mbele wasikutishe.

Lipumba ni mwenyekiti wa kudumu wa CUF ila wapo kimya hawasemi aondoke kwamba muda wake ushatosha.
Hivi kuna chama cha upinzani kinaishi kinaitwa CUF..
 
Back
Top Bottom