Mbowe tangu ashambuliwe na wasiojulikana amekuwa kimya, au kaamua kuwasamehe?

daza steven

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2016
Posts
361
Reaction score
361
Kitendo cha kushambuliwa Mhs. Freeman Mbowe na watu wasiojulikana na kumvunja miguu mwenyekiti wa Chadema taifa na KUB hasa ukichukulia tena tukio hili limetokea tukiwa tunakaribia uchaguzi mkuu, tena wakora hao walimwambia kuwa anaisumbua serikali vyo wakamtegua mguu sasa ni vipi huyu Mheshimiwa akae kimya hivi atakwenda kuchukua RB polisi ataki.

Kwa kawaida katika chama cha Chadema hii kiki ilikuwa izae maandamano kama ya Geoge Floyd nchi nzimaa kwanini Mbowe ananywea kuamsha dude.
 
Baaada ya act kuanza na kumshawishi mahalim seif kujiunga act na matukio ya chadema nilichogundua mimi binafsi CHADEMA ni chama cha wajanja wa mjini wa saka tonge waganga njaa swali nalojiuliza kwanini mahalim seif akwenda kujiunga CHADEMA wakat ni chama chenye ushawishi na cha kikuu cha upinzani
 
Uongo wao safari umekwama,wameadhirika mchana kweupee
Oooo chama kitatoa taarifa,toeni taarifa yenu kama nyie wanaume kweli
 
Baaada ya act kuanza na kumshawishi mahalim seif kujiunga act na matukio ya chadema nilichogundua mimi binafsi CHADEMA ni chama cha wajanja wa mjini wa saka tonge waganga njaa swali nalojiuliza kwanini mahalim seif akwenda kujiunga CHADEMA wakat ni chama chenye ushawishi na cha kikuu cha upinzani
Kwa uandishi huu,ni vyema shule kufunguliwa haraka.
 
Mwamba jitokeze useme ukweri hatukuelewi kabisa ujue.
 
Yupo katika 'recovery phase'..

Wazee wa gambe wanaelewa. Unapofanya kituko huwa kuna kitu inatwa ku 'lay low'.

Aibu ile inakuwa inakuwinda. Na sidhani kama atazungumzia tukio lile tena.
 
Kitendo cha kushambuliwa Mhs. Freeman Mbowe na watu wasiojulikana na kumvunja miguu mwenyekiti wa Chadema taifa na KUB hasa ukichukulia tena tukio hili limetokea tukiwa tunakaribia uchaguzi mkuu, tena wakora hao walimwambia kuwa anaisumbua serikali vyo wakamtegua mguu sasa ni vipi huyu Mhs. akae kimya hivi atakwenda kuchukua RB polisi ataki.
Kwa kawaida katika chama cha Chadema hii kiki ilikuwa izae maandamano kama ya Geoge Floyd nchi nzimaa kwanini Mbowe ananywea kuamsha dude.
Mlevi hamkumbuki mbaya wake!
 
Yupo katika 'recovery phase'..

Wazee wa gambe wanaelewa. Unapofanya kituko huwa kuna kitu inatwa ku 'lay low'.

Aibu ile inakuwa inakuwinda. Na sidhani kama atazungumzia tukio lile tena.
Sasa hivi sio polisi tena, sasa mnamsubiri Mbowe mwenyewe, tulieni.
 
Nilikuwa nawaza kama wewe, labda tumpe muda.

Binafsi nasubiri mkutano wake na waandishi wa habari akielezea nini kilitokea siku hiyo.
 
Watanzania fungueni akili ili taifa ni letu wote.Mbowe na Chadema ni wajanja wajanja.kuweni wa zalendo wa nchi yenu fatilieni mambo kwa kufikilia sana.Nchi hii inamaadui wengi sana.nawanatumia watanzania wenyewe sisi na mataifa jirani.nawapa mfano karibia na mkutano wa Sadc ubarozi wa marekan walitoa barua ya kitisho kwa raia wake kwamba dar itashambuliwa waondoke lengo la hii barua kuna watu waliitafakari?illikuwa kuwatashia watakaoudhuria mkutano wasije na kwanini wasije? Tangu enzi za mwl wanajua nafasi ya tanzania kwa ushawishi wa ukombozi wa bara la africa ba wamejua sasa tanzania imepata kiongozi aina ya nyerere hivyo wasipomdhibiti atawashawishi waafrica wengine kujitambua.Kina mbowe ni mbumbu wapo tiyari kuwapigia magoti wazungu ilimradi maslahi binafsi na sio ya taifa yatimie.nawaasa watanzania kuwen wazalendo na mtumie machoyenu kuona sio kwenda kama nyumbu
 
Kitendo cha kushambuliwa Mhs. Freeman Mbowe na watu wasiojulikana na kumvunja miguu mwenyekiti wa Chadema taifa na KUB hasa ukichukulia tena tukio hili limetokea tukiwa tunakaribia uchaguzi mkuu, tena wakora hao walimwambia kuwa anaisumbua serikali vyo wakamtegua mguu sasa ni vipi huyu Mhs. akae kimya hivi atakwenda kuchukua RB polisi ataki.
Kwa kawaida katika chama cha Chadema hii kiki ilikuwa izae maandamano kama ya Geoge Floyd nchi nzimaa kwanini Mbowe ananywea kuamsha dude.
Maisha yapo kasi sana!
 
Haiwezekani kama huo mguu ulipata shida kubwa kuchezeza vidole namna hio!

Back
Top Bottom