Mbowe tangu ashambuliwe na wasiojulikana amekuwa kimya, au kaamua kuwasamehe?

Baaada ya act kuanza na kumshawishi mahalim seif kujiunga act na matukio ya chadema nilichogundua mimi binafsi CHADEMA ni chama cha wajanja wa mjini wa saka tonge waganga njaa swali nalojiuliza kwanini mahalim seif akwenda kujiunga CHADEMA wakat ni chama chenye ushawishi na cha kikuu cha upinzani
Acha kuharibu jina tukufu la mwenyekiti wetu wewe.

Siyo. Mahalim ni Maalim.
 
Kitendo cha kushambuliwa Mhs. Freeman Mbowe na watu wasiojulikana na kumvunja miguu mwenyekiti wa Chadema taifa na KUB hasa ukichukulia tena tukio hili limetokea tukiwa tunakaribia uchaguzi mkuu, tena wakora hao walimwambia kuwa anaisumbua serikali vyo wakamtegua mguu sasa ni vipi huyu Mhs. akae kimya hivi atakwenda kuchukua RB polisi ataki.
Kwa kawaida katika chama cha Chadema hii kiki ilikuwa izae maandamano kama ya Geoge Floyd nchi nzimaa kwanini Mbowe ananywea kuamsha dude.
Dj kabadilisha CD, katoa ya ulevi kuweka ya kugombea urais, hii mpya ndo iko kwenye chati kwa Sasa. Subiri itachuja muda so mrefu maana in mgogoro na Lissu Hadi nyumbu wameshindwa wacheze wimbo gani.
 
Baaada ya act kuanza na kumshawishi mahalim seif kujiunga act na matukio ya chadema nilichogundua mimi binafsi CHADEMA ni chama cha wajanja wa mjini wa saka tonge waganga njaa swali nalojiuliza kwanini mahalim seif akwenda kujiunga CHADEMA wakat ni chama chenye ushawishi na cha kikuu cha upinzani
Wewe ni jinga kabisa,Maalimu siyo mtu wa kawaida yule ni taasisi ana watu ambao mfumo wao umikamilika, asingeweza kuingia chadema kwa sababu asingepata nafasi ya kuwa mtemi yeye na watu wake,ndio maana walitafuta chama kidogo ili iwe rahisi kukimeza
 
Kitendo cha kushambuliwa Mhs. Freeman Mbowe na watu wasiojulikana na kumvunja miguu mwenyekiti wa Chadema taifa na KUB hasa ukichukulia tena tukio hili limetokea tukiwa tunakaribia uchaguzi mkuu, tena wakora hao walimwambia kuwa anaisumbua serikali vyo wakamtegua mguu sasa ni vipi huyu Mheshimiwa akae kimya hivi atakwenda kuchukua RB polisi ataki.

Kwa kawaida katika chama cha Chadema hii kiki ilikuwa izae maandamano kama ya Geoge Floyd nchi nzimaa kwanini Mbowe ananywea kuamsha dude.
Hakushambuliwa aliumia mwenyewe tu akamua kudanganya eti kashambuliwa matokeo ya uongo wake yanamumbua badala ya kumsaidia ndiyo maana ameona bora apige kimya tu maisha yaendele atafute kiki nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Police walishasema hakushambuliwa, Kama kaafiki taarifa ya polisi akae kimya.
Pombe siyo chai
Polisi wa kwenu lakini hata taarifa zao hamzijui!.

Walisema wanaendelea na uchunguzi ndio maana wamemshililia yule binti wa watu kumlazimisha aseme wanachotaka polisi, nawaambia tena, tulieni.
 
Kitendo cha kushambuliwa Mhs. Freeman Mbowe na watu wasiojulikana na kumvunja miguu mwenyekiti wa Chadema taifa na KUB hasa ukichukulia tena tukio hili limetokea tukiwa tunakaribia uchaguzi mkuu, tena wakora hao walimwambia kuwa anaisumbua serikali vyo wakamtegua mguu sasa ni vipi huyu Mheshimiwa akae kimya hivi atakwenda kuchukua RB polisi ataki.

Kwa kawaida katika chama cha Chadema hii kiki ilikuwa izae maandamano kama ya Geoge Floyd nchi nzimaa kwanini Mbowe ananywea kuamsha dude.
Mpaka mukya ampe ruhusa ya kuongea
Deal imevunjika.
Hata lichama lake nalo limekaa kimya. Hii sio kawaida kabisa.
Ni aibu ya karne,KUB unalewa hadi unashindwa kuongea? Atasema nini?
Mwamba jitokeze useme ukweri hatukuelewi kabisa ujue.
Kwanza aseme na mkewe
Wote nyie mnajijua ni wale jinga jinga kutoka mikoa flani flani ambayo mpaka mfunguke akili zenu ni miaka 100 ijayo. Acheni ujinga wa kushabikia udikteta na upuuzi wa ccm kwa miaka 60 sasa mmerithi ujinga kwa babu zenu kama laana vile.
 
Sijui alilewa kweli, au alishambuliwa!
 
Wote nyie mnajijua ni wale jinga jinga kutoka mikoa flani flani ambayo mpaka mfunguke akili zenu ni miaka 100 ijayo. Acheni ujinga wa kushabikia udikteta na upuuzi wa ccm kwa miaka 60 sasa mmerithi ujinga kwa babu zenu kama laana vile.
Huyo Mbowe atoe hilo tamko basi. Porojo za nini sasa?
 
Yupo katika 'recovery phase'..

Wazee wa gambe wanaelewa. Unapofanya kituko huwa kuna kitu inatwa ku 'lay low'.

Aibu ile inakuwa inakuwinda. Na sidhani kama atazungumzia tukio lile tena.
Halafu consequences zake!!!
 
Yupo katika 'recovery phase'..

Wazee wa gambe wanaelewa. Unapofanya kituko huwa kuna kitu inatwa ku 'lay low'.

Aibu ile inakuwa inakuwinda. Na sidhani kama atazungumzia tukio lile tena.
Na Madokta kimyaaaaaa!!!!
 
Back
Top Bottom