daza steven
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 361
- 361
vijana wa buku saba mpo online hadi usiku huu au mnalipwa na overtime?Hata lichama lake nalo limekaa kimya. Hii sio kawaida kabisa.
Na wewe unalipwa buku ngapi?vijana wa buku saba mpo online hadi usiku huu au mnalipwa na overtime?
Kwa uandishi huu,ni vyema shule kufunguliwa haraka.Baaada ya act kuanza na kumshawishi mahalim seif kujiunga act na matukio ya chadema nilichogundua mimi binafsi CHADEMA ni chama cha wajanja wa mjini wa saka tonge waganga njaa swali nalojiuliza kwanini mahalim seif akwenda kujiunga CHADEMA wakat ni chama chenye ushawishi na cha kikuu cha upinzani
Mlevi hamkumbuki mbaya wake!Kitendo cha kushambuliwa Mhs. Freeman Mbowe na watu wasiojulikana na kumvunja miguu mwenyekiti wa Chadema taifa na KUB hasa ukichukulia tena tukio hili limetokea tukiwa tunakaribia uchaguzi mkuu, tena wakora hao walimwambia kuwa anaisumbua serikali vyo wakamtegua mguu sasa ni vipi huyu Mhs. akae kimya hivi atakwenda kuchukua RB polisi ataki.
Kwa kawaida katika chama cha Chadema hii kiki ilikuwa izae maandamano kama ya Geoge Floyd nchi nzimaa kwanini Mbowe ananywea kuamsha dude.
Sasa hivi sio polisi tena, sasa mnamsubiri Mbowe mwenyewe, tulieni.Yupo katika 'recovery phase'..
Wazee wa gambe wanaelewa. Unapofanya kituko huwa kuna kitu inatwa ku 'lay low'.
Aibu ile inakuwa inakuwinda. Na sidhani kama atazungumzia tukio lile tena.
Maisha yapo kasi sana!Kitendo cha kushambuliwa Mhs. Freeman Mbowe na watu wasiojulikana na kumvunja miguu mwenyekiti wa Chadema taifa na KUB hasa ukichukulia tena tukio hili limetokea tukiwa tunakaribia uchaguzi mkuu, tena wakora hao walimwambia kuwa anaisumbua serikali vyo wakamtegua mguu sasa ni vipi huyu Mhs. akae kimya hivi atakwenda kuchukua RB polisi ataki.
Kwa kawaida katika chama cha Chadema hii kiki ilikuwa izae maandamano kama ya Geoge Floyd nchi nzimaa kwanini Mbowe ananywea kuamsha dude.
Kitendo cha kushambuliwa Mhs. Freeman Mbowe na watu wasiojulikana na kumvunja miguu mwenyekiti wa Chadema taifa na KUB hasa ukichukulia tena tukio hili limetokea tukiwa tunakaribia uchaguzi mkuu, tena wakora hao walimwambia kuwa anaisumbua serikali vyo wakamtegua mguu sasa ni vipi huyu Mhs. akae kimya hivi atakwenda kuchukua RB polisi ataki.
Kwa kawaida katika chama cha Chadema hii kiki ilikuwa izae maandamano kama ya Geoge Floyd nchi nzimaa kwanini Mbowe ananywea kuamsha dude.