Mbowe tangu ashambuliwe na wasiojulikana amekuwa kimya, au kaamua kuwasamehe?

Acha kuharibu jina tukufu la mwenyekiti wetu wewe.

Siyo. Mahalim ni Maalim.
 
Dj kabadilisha CD, katoa ya ulevi kuweka ya kugombea urais, hii mpya ndo iko kwenye chati kwa Sasa. Subiri itachuja muda so mrefu maana in mgogoro na Lissu Hadi nyumbu wameshindwa wacheze wimbo gani.
 
Wewe ni jinga kabisa,Maalimu siyo mtu wa kawaida yule ni taasisi ana watu ambao mfumo wao umikamilika, asingeweza kuingia chadema kwa sababu asingepata nafasi ya kuwa mtemi yeye na watu wake,ndio maana walitafuta chama kidogo ili iwe rahisi kukimeza
 
Hakushambuliwa aliumia mwenyewe tu akamua kudanganya eti kashambuliwa matokeo ya uongo wake yanamumbua badala ya kumsaidia ndiyo maana ameona bora apige kimya tu maisha yaendele atafute kiki nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Police walishasema hakushambuliwa, Kama kaafiki taarifa ya polisi akae kimya.
Pombe siyo chai
Polisi wa kwenu lakini hata taarifa zao hamzijui!.

Walisema wanaendelea na uchunguzi ndio maana wamemshililia yule binti wa watu kumlazimisha aseme wanachotaka polisi, nawaambia tena, tulieni.
 
Mpaka mukya ampe ruhusa ya kuongea
Deal imevunjika.
Hata lichama lake nalo limekaa kimya. Hii sio kawaida kabisa.
Ni aibu ya karne,KUB unalewa hadi unashindwa kuongea? Atasema nini?
Mwamba jitokeze useme ukweri hatukuelewi kabisa ujue.
Kwanza aseme na mkewe
Wote nyie mnajijua ni wale jinga jinga kutoka mikoa flani flani ambayo mpaka mfunguke akili zenu ni miaka 100 ijayo. Acheni ujinga wa kushabikia udikteta na upuuzi wa ccm kwa miaka 60 sasa mmerithi ujinga kwa babu zenu kama laana vile.
 
Sijui alilewa kweli, au alishambuliwa!
 
Wote nyie mnajijua ni wale jinga jinga kutoka mikoa flani flani ambayo mpaka mfunguke akili zenu ni miaka 100 ijayo. Acheni ujinga wa kushabikia udikteta na upuuzi wa ccm kwa miaka 60 sasa mmerithi ujinga kwa babu zenu kama laana vile.
Huyo Mbowe atoe hilo tamko basi. Porojo za nini sasa?
 
Yupo katika 'recovery phase'..

Wazee wa gambe wanaelewa. Unapofanya kituko huwa kuna kitu inatwa ku 'lay low'.

Aibu ile inakuwa inakuwinda. Na sidhani kama atazungumzia tukio lile tena.
Halafu consequences zake!!!
 
Yupo katika 'recovery phase'..

Wazee wa gambe wanaelewa. Unapofanya kituko huwa kuna kitu inatwa ku 'lay low'.

Aibu ile inakuwa inakuwinda. Na sidhani kama atazungumzia tukio lile tena.
Na Madokta kimyaaaaaa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…