Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 3,151
- 6,261
Sasa hao maaskofu na mamufti wana uhusiano na uongozi wa chadema? Mbowe alitakiwa kuuagiza uongozi wa rais aletewe viongozi wa chadema ili ashauriane nao kuitikia wito wa rais, lakini yeye alitoka na makoti yake moja kwa moja hadi Ikulu na hata baada ya hapo aliwambia viongozi wake kwamba yeye halazimiki kuongea kila kitu alichoongea na raisElimu
Elimu
Elimu
Hoja zote amezijibu na Lisu ameshiriki vikao vyote vya kamati kuu.
Mbowe alifuatwa jela na maaskofu na Mufti kupewa ujumbe wa Rais gerezani.
Katiba ya Chadema, makamu mwenyekiti ndio mamlaka ya nidhamu, huyo Lisu ameshindwa vipi kuchukuwa hatua na kuja kuropoka mitaani kama amerukwa na na akili wakati yeye ndio mkuu wa nidhamu?
Lisu alikutana na Rais Belgium, alikuwa na nani?Mwenyekiti wa nidhamu kamwe hawezi akasikisiza kesi mwenyewe tofauti na kuagizwa na kamati kuu
Kufwatwa gerezani na viongozi wa dini ndio iwe sababu ya kuwachenga wenzake kuonana na rais
Wenzake wanamsubili kisutu kumbe MWAMBA yupo ikulu
Kisutu kufanya nini?Mwenyekiti wa nidhamu kamwe hawezi akasikisiza kesi mwenyewe tofauti na kuagizwa na kamati kuu
Kufwatwa gerezani na viongozi wa dini ndio iwe sababu ya kuwachenga wenzake kuonana na rais
Wenzake wanamsubili kisutu kumbe MWAMBA yupo ikulu
Lisu ameshajibu hili swali kabla ya kukutana na mama abdul alizungumza na Katibu na uongozi wa chama ajenda ya mazungumzo iwe nini lissu alieleza yote kwenye media siku hiyo hiyo licha ya mwamba hadi leo anasema hataweka hadharani baadhi ya mambo aliyozungumza na mama abdulLisu alikutana na Rais Belgium, alikuwa na nani?
Hili swali linatoka kwa mere prostitute anaejadili chama kikubwa kilichokua branded na anaemshangaa alikuaje mwenyekiti!! Nchi ina maiti hii 🙌🙌Huyu jamaa ilikuaje kuaje akawa Mwenyekiti 🤣
Wakati baba zao wanahangaika na malaya mchaga wa watu anajenga taasisi leo imekua kubwa wanaleta porojo za kimalaya malayaLeo ndio nimeamini JF imejaa upotoshaji, ukimsikiliza Mbowe direct utamuelewa vizuri sana, siyo hawa wanaotafuta heading za kuleta taaruki Mbowe amewaongelea kwenye interview yake, watu kumi wanaweza kutumia AI kutuma comment 1000 kuleta taharuki kwenye jamii kumbe ukweli haupo hivyo.
Mbowe ana kitu cha ziada.
Mboye angenyamaza kimya anazidi kujivua nguo, kwa mtu mwenye akili timamu unaona kabisa anachokifanya ni mfa maji asiyeacha kutapatapa.
Uwe unaelewa sio nani awepo bali je viongozi wenzako wanayotaarifa ya kutano lenuLisu alikutana na Rais Belgium, alikuwa na nani?
Kesi yake ilikuwa inasikilizwa wapi ?Kisutu kufanya nini?
Mmeanza kuzinduka sasa!Huyu jamaa ilikuaje kuaje akawa Mwenyekiti 🤣
Hakika Mkuu, kuwa watu ni wapotoshaji wakubwa, Hii si sahihi.Kuanzia sasa itabidi mpaka nisikilize video clip mtu aliongea nini, leo nimegunduwa upotoshaji mkubwa na wa makusudi unaofanywa na member wajinga wajinga wa JF.
Ah, mzee busara inazidi kumtoroka aisee !Mbona hiyo ni reasoning ya kipumbavu sanaa isio stahili kutolewa na mwenyekiti wa chama.
Duuh, njaa ni noma mno..Ni kweli njaa huondoa hadi akili ya kufikiri.
nafikirisha sana huyu mwamba kajidhalilisha sana na ana zidi kujionesha kuwa yeye ni fantazNa yeye anataka abaki sababu hana njaa!😂
Sasa umefika muda wa " nawa uso uone mbele"Mmeanza kuzinduka sasa!
Mbowe kafikia ukomo wa uwezo wake. Miaka 21 ya uenyekiti inatosha. Siku zote ukomo wa vipindi vya kuongoza ndiyo genesis ya demokrasia.Nimemaliza kuangalia hiyo exclusive interview ya Mbowe almost one hour, usilishwe matango pori.
Anayeta kujuwa Mbowe ni jiniazi
atafute hiyo interview Youtube umsikilize mwenyewe jamaa alivyo na utulivu mkubwa na wala hafokifoki.
Na ukitumia tu common sense ya hiyo interview Mbowe anachaguliwa tena.
Mzee hupokei simu, unatafutwa kwenye mdaharo.Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema;
"Moja wapo ya changamoto kubwa tunayoipata kwenye Vyama vyetu vya Upinzani ni uvumilivu wa watu kusubiri miaka mitano, kumi, ishirini. Wanapokuwa wabunge, kwa mfano, hakuna kipindi tumejua ndani ya Chama kama kipindi hiki ambacho hatuna wabunge. Ukiangalia wote wanaopiga kelele hawa, awe Msigwa, awe Lema, awe Heche, awe Lissu, hawa watu wamekuwa Wabunge kwenye Chama chetu wote kwa zaidi ya miaka. Walivyokuwa Wabunge, wanakipato cha uhakika, wana nafasi kwenye Bunge kiserikali kwa kiwango fulani. Huko ndiko hakupati hiyo kelele."
Soma, Pia