Mbowe: Tatizo la Upinzani ni kukosa uvumilivu wa kusubiri, Wabunge wakishapoteza Kipato

Mbowe: Tatizo la Upinzani ni kukosa uvumilivu wa kusubiri, Wabunge wakishapoteza Kipato

Lema na Msigwa May be ila kwa Lissu Hapana kabisa, Pamoja na Kwamba Lissu sio tajiri lakini bado angekuwa Mtu mwenye Njaa tayari angejiunga na Walamba Asali kitambo sana na Angekuwa kwenye Managerial positions muda tu
 
Elimu
Elimu
Elimu


Hoja zote amezijibu na Lisu ameshiriki vikao vyote vya kamati kuu.

Mbowe alifuatwa jela na maaskofu na Mufti kupewa ujumbe wa Rais gerezani.

Katiba ya Chadema, makamu mwenyekiti ndio mamlaka ya nidhamu, huyo Lisu ameshindwa vipi kuchukuwa hatua na kuja kuropoka mitaani kama amerukwa na na akili wakati yeye ndio mkuu wa nidhamu?
Sasa hao maaskofu na mamufti wana uhusiano na uongozi wa chadema? Mbowe alitakiwa kuuagiza uongozi wa rais aletewe viongozi wa chadema ili ashauriane nao kuitikia wito wa rais, lakini yeye alitoka na makoti yake moja kwa moja hadi Ikulu na hata baada ya hapo aliwambia viongozi wake kwamba yeye halazimiki kuongea kila kitu alichoongea na rais

On top of that, jamaa akaanza kubadilika totally siye yule aliyeenda jela na kutoka, tunadhani Mbowe angejikita zaidi kwenye hii mijadala kuzungumzia nini hasa walizungumza na rais lakini nini hasa kilichomsibu kuna kila dalili jamaa alifikia bei.

Unataka Lissu makamo mwenyekiti amchukulie hatua Mwenyekiti wakati waliojaribu kumuhoji wamesharambishwa mchanga zamani kina msigwa na wenzake. wacha mbowe yamkute alijifanya mwamba sasa mwamba umepasuka. Sasa ni ashinde mbowe kwenye uchaguzi chama kibaki kwenye makaratasi au ashinde Tundu Lissu Tanzania kuwe na chama kikuu chenye nguvu zaidi cha upinzani
 
Mwenyekiti wa nidhamu kamwe hawezi akasikisiza kesi mwenyewe tofauti na kuagizwa na kamati kuu


Kufwatwa gerezani na viongozi wa dini ndio iwe sababu ya kuwachenga wenzake kuonana na rais

Wenzake wanamsubili kisutu kumbe MWAMBA yupo ikulu
Lisu alikutana na Rais Belgium, alikuwa na nani?
 
Mwenyekiti wa nidhamu kamwe hawezi akasikisiza kesi mwenyewe tofauti na kuagizwa na kamati kuu


Kufwatwa gerezani na viongozi wa dini ndio iwe sababu ya kuwachenga wenzake kuonana na rais

Wenzake wanamsubili kisutu kumbe MWAMBA yupo ikulu
Kisutu kufanya nini?
 
Lisu alikutana na Rais Belgium, alikuwa na nani?
Lisu ameshajibu hili swali kabla ya kukutana na mama abdul alizungumza na Katibu na uongozi wa chama ajenda ya mazungumzo iwe nini lissu alieleza yote kwenye media siku hiyo hiyo licha ya mwamba hadi leo anasema hataweka hadharani baadhi ya mambo aliyozungumza na mama abdul
 
Ni kweli njaa ndiyo kikwazo kikubwa katika vyama vya upinzani.
 
Leo ndio nimeamini JF imejaa upotoshaji, ukimsikiliza Mbowe direct utamuelewa vizuri sana, siyo hawa wanaotafuta heading za kuleta taaruki Mbowe amewaongelea kwenye interview yake, watu kumi wanaweza kutumia AI kutuma comment 1000 kuleta taharuki kwenye jamii kumbe ukweli haupo hivyo.

Mbowe ana kitu cha ziada.
Wakati baba zao wanahangaika na malaya mchaga wa watu anajenga taasisi leo imekua kubwa wanaleta porojo za kimalaya malaya
 
Mboye angenyamaza kimya anazidi kujivua nguo, kwa mtu mwenye akili timamu unaona kabisa anachokifanya ni mfa maji asiyeacha kutapatapa.

..hizi press conference angezlfanya kujibu uongo wa Ccm kwa wananchi, sio kusubiri wakati wa uchaguzi na nafasi yake inatishiwa.
 
Kuanzia sasa itabidi mpaka nisikilize video clip mtu aliongea nini, leo nimegunduwa upotoshaji mkubwa na wa makusudi unaofanywa na member wajinga wajinga wa JF.
Hakika Mkuu, kuwa watu ni wapotoshaji wakubwa, Hii si sahihi.
 
Nimemaliza kuangalia hiyo exclusive interview ya Mbowe almost one hour, usilishwe matango pori.

Anayeta kujuwa Mbowe ni jiniazi
atafute hiyo interview Youtube umsikilize mwenyewe jamaa alivyo na utulivu mkubwa na wala hafokifoki.

Na ukitumia tu common sense ya hiyo interview Mbowe anachaguliwa tena.
Mbowe kafikia ukomo wa uwezo wake. Miaka 21 ya uenyekiti inatosha. Siku zote ukomo wa vipindi vya kuongoza ndiyo genesis ya demokrasia.
 
Akizungumza katika kipindi Cha Morning Trumpet Mwenyekiti anayemaliza muda wake Freeman Mbowe amesema;

"Moja wapo ya changamoto kubwa tunayoipata kwenye Vyama vyetu vya Upinzani ni uvumilivu wa watu kusubiri miaka mitano, kumi, ishirini. Wanapokuwa wabunge, kwa mfano, hakuna kipindi tumejua ndani ya Chama kama kipindi hiki ambacho hatuna wabunge. Ukiangalia wote wanaopiga kelele hawa, awe Msigwa, awe Lema, awe Heche, awe Lissu, hawa watu wamekuwa Wabunge kwenye Chama chetu wote kwa zaidi ya miaka. Walivyokuwa Wabunge, wanakipato cha uhakika, wana nafasi kwenye Bunge kiserikali kwa kiwango fulani. Huko ndiko hakupati hiyo kelele."
Soma, Pia
Mzee hupokei simu, unatafutwa kwenye mdaharo.
Watz wanasubiri hoja na busara zako kwenye huu mdaharo.
 
Kuna mdaharo,akatoe hoja huko.
Hii tabia ya kukimbia midaharo hufanya na miccm. Chadema hawana desturi za kukacha midaharo, huu uoga unatoka wapi?
Mkumbusheni kupokea simu nyie chawa wake
 
Back
Top Bottom