Hana hoja zaidi ya kuomba afikishe miaka 68.Hebu mhurumieni Mbowe.
Kwani kwenye hayo maongezi yake na wanahabari kila kukicha, huwa hasemi vipaumbele vyake endapo atakabidhiwa mitano tena?
Naona mnachagua zile futuhi zake na kuzimwaga mitandaoni
Tupeni japo hata point moja ya msingi anayowaahidi wanaCHADEMA
Mmezoea kudanganywa, kamati kuu ina taarifa zote.Uwe unaelewa sio nani awepo bali je viongozi wenzako wanayotaarifa ya kutano lenu
Ona hii takataka.Hana hoja zaidi ya kuomba afikishe miaka 68.
Sio kweliMmezoea kudanganywa, kamati kuu ina taarifa zote.
Anaendelea kuwadanganya mazuzu, kuna hati ipi ya kiapo aliyoapa kutosema hayo?Sio kweli
LISSU kasema kama hawezi kutunza siri akiyasema yaliyojadiliwa kamati kuu wengi wataikimbia CDM
kwamba wana njaa wakina Lissu na HechKama kweli Mbowe amesema hivyo basi ni mpumbavu kabisa,yaani Lissu kugombea uenyekiti ndiyo yote haya yanamtoka.
Mbowe amekuwa Malkia wa mipasho siku hizi..kwamba wana njaa wakina Lissu na Hech
Sawa mkuu endelea kumwamini mwanamaridhiano sisi mazuzu Wacha aendelee kutudaganyaAnaendelea kuwadanganya mazuzu, kuna hati ipi ya kiapo aliyoapa kutosema hayo?