Hana hoja zaidi ya kuomba afikishe miaka 68.Hebu mhurumieni Mbowe.
Kwani kwenye hayo maongezi yake na wanahabari kila kukicha, huwa hasemi vipaumbele vyake endapo atakabidhiwa mitano tena?
Naona mnachagua zile futuhi zake na kuzimwaga mitandaoni
Tupeni japo hata point moja ya msingi anayowaahidi wanaCHADEMA