Mbowe tulikuonya kuhusu kushangilia kifo cha Magufuli ukapuuza

Ni mwizi wa mabilioni huyo nenda kamuulize Msigwa
Mimi sio mwizi. Sipo hapa kumtetea Mbowe niko hapa kusema kuhusu ukabila wa wazi wazi wa Magufuli na kuonea watu wazi wazi. Alivyokufa nilifurahi sana. Kama haujui aliowabeba ndio waliommaliza. He died a lonely death.
 
Ila uko hapa kulamba miguu ya Mbowe
 
Ila uko hapa kulamba miguu ya Mbowe
Mbowe hana elimu na ni mtoto wa kishua hajui shida.Simtetei Mbowe ninachokataa ni kusema kuwa Magufuli alikuwa Rais Mzuri. Walio na akili watakuwa amejifunza na kifo chake maana. Maana hata waliombeba walimuangusha.
 
Ukweli kwamba ni gaidi?
Ndugu yangu hata kama hatujuani ila hebu punguza kuwazushia watu vitu usivyo na uhakika navyo,nakuomba umuogope mno aliyeiumba hii dunia ambapo sio mbali mutaonana,kiukweli magufuli kuna mema aliyafanya na kuna mengine ya hovyo aliyafanya...uzuri au ubaya wa magufuli unategemea na kila mmoja yaliyomkuta kwenye utawala wake...mfano lissu au azory gwanda wangekuwa ni wazazi wako ungemfurahia magufuli?fikiria aliivunja billcanas mfano ingekuwa mbowe ni baba yako na kavunjiwa wewe ungeendelea tu kumkubali magufuli? Munatuambia siasa sio uadui ila fikiria byakanwa kaharibu bustani ya mbowe bila sababu na magufuli akampandisha cheo
 
Mahakama ndiyo ilimkuta mbowe ni gaidi
 
Magufuli ndiyo amewazuia kupeleka ushahidi mahakamani?
 
January, Nape, Kinana nao wameunga tela la mateso
 
Leta ushahidi mbowe akiwa anashangilia kifo cha Magufuli?
Ila mwendazake alikataa lisu asiombewe wala kutibiwa hatimae Mungu akaingilia kati bahari ikatulia
 
Una ushahidi wa madai yako haya?
 
Leta ushahidi mbowe akiwa anashangilia kifo cha Magufuli?
Ila mwendazake alikataa lisu asiombewe wala kutibiwa hatimae Mungu akaingilia kati bahari ikatulia
Unaomba ushahidi at the same time nawewe unakuja na empty complain.
 
Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.

Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo hicho! Watanzania wengi waliumizwa sana na kitendo hicho na ilipelekea mwanachama wa chadema wakati huo Lazaro Nyalandu kukihama chama hicho.

Laana bado inaendelea na Chadema imepoteza mvuto kwa wananchi, wameshindwa chaguzi zote za marudio, wameendelea kukimbiwa na wanachama wao muhimu ikiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Peter Msigwa.!
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu anaonekana dhahiri hana maelewano mazuri na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe. Kuna mpasuko na ufa wa kutisha ndani ya Chadema.

Baada ya miaka 3 kupita tunamuuliza Mbowe, Chadema kimepata faida gani kutokana na kushangilia kifo cha Magufuli?

Na bado Laana imetafuna na itaendelea kutafuna.
Mbona huachi kupandisha huu Uzi wewe kima?
 
Back
Top Bottom