Mbowe tulikuonya kuhusu kushangilia kifo cha Magufuli ukapuuza

Mbowe tulikuonya kuhusu kushangilia kifo cha Magufuli ukapuuza

Kwani nani amekuza bodaboda nchini kuna juhudi zozote za kiongozi wa siasa au upepo tu wa maendeleo unavuma duniani na kuwasomba werevu na wajinga?

Kwa hiyo wewe ni mjinga unayesombwa?
 
Yanahusiana vipi Msigwa kuhama chama na Mbowe kushangilia kifo cha Magufuli! Mtu ukiumiza watu siku ukifa watu uliowaumiza lazima watashangilia tu,tuishi vyema hapa duniani tunapita tu.
Hata mtoa mada siku akifa watu wengi tu watashangilia. Kama anabisha aekti kufa kama yule aliyefanya hivyo wakaja ndg wawili tu kwenye msiba. Yeye mwenyewe kuna mtu akifa atashangilia. Unafiki tu
 
Hata mtoa mada siku akifa watu wengi tu watashangilia. Kama anabisha aekti kufa kama yule aliyefanya hivyo wakaja ndg wawili tu kwenye msiba. Yeye mwenyewe kuna mtu akifa atashangilia. Unafiki tu

Na wewe wapo watashangilia?
 
Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.

Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo hicho! Watanzania wengi waliumizwa sana na kitendo hicho na ilipelekea mwanachama wa chadema wakati huo Lazaro Nyalandu kukihama chama hicho.

Laana bado inaendelea na Chadema imepoteza mvuto kwa wananchi, wameshindwa chaguzi zote za marudio, wameendelea kukimbiwa na wanachama wao muhimu ikiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Peter Msigwa.!
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu anaonekana dhahiri hana maelewano mazuri na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe. Kuna mpasuko na ufa wa kutisha ndani ya Chadema.

Baada ya miaka 3 kupita tunamuuliza Mbowe, Chadema kimepata faida gani kutokana na kushangilia kifo cha Magufuli?

Na bado Laana imetafuna na itaendelea kutafuna.
Huko ccm hakuna aliyeshangilia?
 
January Makamba na Nape pia walishangilia kiko wapi sasa?
 
Nilipokea taarifa nikiwa naelekea nyumbani nikarudi nyumbani nikakesha baa mpaka asubuhi. Baada ya Mungu kutuepusha na JPM biashara yangu ikafunguka mpaka sasa nipo ujerumani nachukua ujuzi nikirudi Tanzania nipige hatua zaidi. Namshukuru Mungu kwa kutuangalia sisi waja wake.
Ujuzi wa nini mwizi mkubwa wewe? [emoji848]
 
Back
Top Bottom