Kwani nani amekuza bodaboda nchini kuna juhudi zozote za kiongozi wa siasa au upepo tu wa maendeleo unavuma duniani na kuwasomba werevu na wajinga?Nani aliukuza uchumi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nani amekuza bodaboda nchini kuna juhudi zozote za kiongozi wa siasa au upepo tu wa maendeleo unavuma duniani na kuwasomba werevu na wajinga?Nani aliukuza uchumi?
Hata mtoa mada siku akifa watu wengi tu watashangilia. Kama anabisha aekti kufa kama yule aliyefanya hivyo wakaja ndg wawili tu kwenye msiba. Yeye mwenyewe kuna mtu akifa atashangilia. Unafiki tuYanahusiana vipi Msigwa kuhama chama na Mbowe kushangilia kifo cha Magufuli! Mtu ukiumiza watu siku ukifa watu uliowaumiza lazima watashangilia tu,tuishi vyema hapa duniani tunapita tu.
Huko ccm hakuna aliyeshangilia?Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.
Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo hicho! Watanzania wengi waliumizwa sana na kitendo hicho na ilipelekea mwanachama wa chadema wakati huo Lazaro Nyalandu kukihama chama hicho.
Laana bado inaendelea na Chadema imepoteza mvuto kwa wananchi, wameshindwa chaguzi zote za marudio, wameendelea kukimbiwa na wanachama wao muhimu ikiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Peter Msigwa.!
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu anaonekana dhahiri hana maelewano mazuri na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe. Kuna mpasuko na ufa wa kutisha ndani ya Chadema.
Baada ya miaka 3 kupita tunamuuliza Mbowe, Chadema kimepata faida gani kutokana na kushangilia kifo cha Magufuli?
Na bado Laana imetafuna na itaendelea kutafuna.
Mambo ya CCM hayo, kumbuka Magufuri alijenga Chato kuwa jiji kwa pesa za serikali.Mfanyakazi wa TRA akutwa na billion 7 nyumbani
NapeWataje kama wapo
Anaipataje wakati ndio kwanza cheo kimepanda?Anaipata ile fresh
Inaongozwa na kumilikiwa na CCM.TRA ni ccm? Hivi shule ulisimea ujinga?
Labda shule ya Sukuma gang ndiyo itaonekana kuwa angalau nimesoma.Rudi shule kwanza
Ujuzi wa nini mwizi mkubwa wewe? [emoji848]Nilipokea taarifa nikiwa naelekea nyumbani nikarudi nyumbani nikakesha baa mpaka asubuhi. Baada ya Mungu kutuepusha na JPM biashara yangu ikafunguka mpaka sasa nipo ujerumani nachukua ujuzi nikirudi Tanzania nipige hatua zaidi. Namshukuru Mungu kwa kutuangalia sisi waja wake.