Mbowe tulikuonya kuhusu kushangilia kifo cha Magufuli ukapuuza

Mbowe tulikuonya kuhusu kushangilia kifo cha Magufuli ukapuuza

Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.

Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo hicho! Watanzania wengi waliumizwa sana na kitendo hicho na ilipelekea mwanachama wa chadema wakati huo Lazaro Nyalandu kukihama chama hicho.

Laana bado inaendelea na Chadema imepoteza mvuto kwa wananchi, wameshindwa chaguzi zote za marudio, wameendelea kukimbiwa na wanachama wao muhimu ikiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Peter Msigwa.!
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu anaonekana dhahiri hana maelewano mazuri na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe. Kuna mpasuko na ufa wa kutisha ndani ya Chadema.

Baada ya miaka 3 kupita tunamuuliza Mbowe, Chadema kimepata faida gani kutokana na kushangilia kifo cha Magufuli?

Na bado Laana imetafuna na itaendelea kutafuna.
Na iwe fundisho kwa wote wanaoshangilia vifo vya wengine!. Amebakia yule mtabiri anayetabiria wenzie watakufa lini, utafikiri yeye amezaliwa kuishi milele.
 
Kwa nini Mbowe anauwa kila anauetaka uenyekiti wa chadema? Kama anakubalika sana na wanachama si aruhusu ushindani?
Kamuua nani wewe?
Mbona unajiropokea tuu kwa vile una uhuru wa kusema lolote?
Ugaidi mkamsingizia mkaishia aibu na fedheha mahakamani hadi mnamkimbiza kytoka magereza hadi Ikulu kumuomba radhi!
Hivi Mbowe angekuwa na tuhuma za kweli kama hizo si mnge ita Scotland yard waje wapeleleze mlivyo na hamu naye?
Mnabwabwaja tuu, ooh haondoki madarakani kwani mbamchagua nyie? Katiba ya Chadema haisemi Kiongozi wake atachaguliwa na ccm, so shut the f.u.
 
Najua watukutukana sana humu kama kawaida yao, ila kiukweli ilipaswa chadema wazike togauti zao na JPM mara tu baada ya kifo chake, ni ukweli usiopingika JPM alikuwa na wafuasi wengi pengine kulio vyama vote vya siasa, hivyo kifo chake kiliwaacha wafuasi wake njia panda, chadema walipaswa watumie hilo gap vizuri kuhakikisha wanawanyakuwa hawa wafuasa kwa kufuata angalau kwa uchache falsafa za JPM ila wao wakaishia kumtusi hadi leo hii bado wanamuandama kila wanapopanda jukwaani sijui hii ndio sera yao? Yeyeto anayetumia falsafa ya JPM kwenye uongozi wake lazima awe maarufu kisiasa na anapata wafuasi wengi, mfano mzuri ni Makonda. Chadema wanaweza kupotea kabisa wakiendelea kumuuandama JPM.
 
Uko vizuri sana mkuu kwenye uchambuzi wa siasa
 
Yaani hapo kwa Magufuli
Nawaona chadema nao miyeyusho
Siwaelewi wanataka nin
Kwamba wao wakikamata dola watakuwa zaidi magufuli, zaidi ya samia na maraisi wote?
 
Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.

Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo hicho! Watanzania wengi waliumizwa sana na kitendo hicho na ilipelekea mwanachama wa chadema wakati huo Lazaro Nyalandu kukihama chama hicho.

Laana bado inaendelea na Chadema imepoteza mvuto kwa wananchi, wameshindwa chaguzi zote za marudio, wameendelea kukimbiwa na wanachama wao muhimu ikiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Peter Msigwa.!
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu anaonekana dhahiri hana maelewano mazuri na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe. Kuna mpasuko na ufa wa kutisha ndani ya Chadema.

Baada ya miaka 3 kupita tunamuuliza Mbowe, Chadema kimepata faida gani kutokana na kushangilia kifo cha Magufuli?

Na bado Laana imetafuna na itaendelea kutafuna.
Kabla ya kumsuta Mbowe anza na baadhi ya viongozi wa CCM waliofurahia kifo cha mwamba. Uzuri ni kuwa wengi wao wamezungumzia hadharani.
 
Wewe ni nani unaejua kushauri watu wakubwa hivi?
Kwenye family level umewahi angalau kushauri kitu japo cha kujenga choo kweli wewe?
Mbowe anavuna alichopanda!! Wenye akili tunajua CHADEMA imepotea na inakwenda kuzikwa rasmi.

Ndo maana mmebaki kurusha tu picha za mafuriko bila Kuwepo ujumbe wa maana.

Bila kuwarudisha Lissu na Dr Slaa mmekwisha
 
Mie nashangaa kuna watu walilia sana kifo cha jpm wala hawakuulizwa kwann wanalia lakini wale wenzangu na mimi ambao waliamua kuumwagilia moyo wakaanza kuandamwa shida nini? Hii ni sawa na kumlazimisha mtu kulia au kucheka yaan sijui unaumia ukiwa wapi
Niumie kwa lipi!
 
Hata nyumbu wenzio watakushangaa ukisema hivi
Magufuli na ushenzi aliokuwa nao kwa wapinzani aliishia kufa mwenyewe na wale aliowadhamiria maovu ndio hao akina Lissu na Mbowe wanaishi na kustawi. Wewe ni mjinga kiasi gani bado unakuwa mfuasi wa mmauti huyu!
 
Inaenea wapi? Labda chumbani kwenu
Chadema imepoteza mvuto kila siku inapambana na marehemu badala idili na matatizo tuliyonayo sasa wenyewe wamekomaa kupoteza legacy ya marehemu, na ndio inayowapotezea imani kwa wananchi coz vitu alivyofanya Magufuli kwa Tanzania ni vikubwa na vimegusa sana watu na vinaonekana sasa kila mkisimama Magufuli, Magufuli utazan mmetumwa
Hata wewe na fikra zako hizi duni ukiwa rais mbona barabara zitajengwa tu?
 
Hapo ni kama unampigia mbuzi GITAA.mangi yeye anachoangalia ni maokoto tuh,ili mradi mambo yake yanamuendea wee piga kelele wee yeye anakula zake kuku tuh.
 
Kwa harakaharaka, wee ni Jobless, Masikini ambaye bado unajitafuta ila Una Elimu Makaratasi.

Hivo ni ngumu kwako kupanda Treni ya SGR, Ni ngumu kutumia Usafiri wa Anga, ni Mtembea Kwa miguu kwahiyo zile Flyovers za Magu kwako hazina maana , huna hata Biashara kwahiyo huwazi juu ya Umeme , MAJI, bahati mbaya Hauna hata watoto kwahiyo huwazi juu y Mashule, hospital za Wilaya Kila Wilaya, za Mkoa, za Kanda.

Kwa UFUP wee ni KamasikinKanafikiKajinga yaan KKK.

Umemshukia kama mwewe mjinga yule
 
Back
Top Bottom