Mbowe tulikuonya kuhusu kushangilia kifo cha Magufuli ukapuuza

Ndio kwanza Chadema inakomaa na kuenea zaidi.
Inaenea wapi? Labda chumbani kwenu
Chadema imepoteza mvuto kila siku inapambana na marehemu badala idili na matatizo tuliyonayo sasa wenyewe wamekomaa kupoteza legacy ya marehemu, na ndio inayowapotezea imani kwa wananchi coz vitu alivyofanya Magufuli kwa Tanzania ni vikubwa na vimegusa sana watu na vinaonekana sasa kila mkisimama Magufuli, Magufuli utazan mmetumwa
 
Wewe kunakiongozi wa CCM toka familia yako au kunakiongozi wa CCM mwanae anaendesha bodaboda au anasoma shule za kata! Hao akina Nape wapo hapo kwa sababu ya baba zao vinginevyo tungekuwa nao mitaani.
Kwani kuna mtoto wa Mbowe bodaboda
Hata mimi sipo serikalini but sina ndugu bodaboda
 
Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.

Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo hicho! Watanzania wengi waliumizwa sana na kitendo hicho na ilipelekea mwanachama wa chadema wakati huo Lazaro Nyalandu kukihama chama hicho.

Laana bado inaendelea na Chadema imepoteza mvuto kwa wananchi, wameshindwa chaguzi zote za marudio, wameendelea kukimbiwa na wanachama wao muhimu ikiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Peter Msigwa.!
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu anaonekana dhahiri hana maelewano mazuri na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe. Kuna mpasuko na ufa wa kutisha ndani ya Chadema.

Baada ya miaka 3 kupita tunamuuliza Mbowe, Chadema kimepata faida gani kutokana na kushangilia kifo cha Magufuli?

Na bado Laana imetafuna na itaendelea kutafuna.
unamchukia mbowe hadi ukienda chooni unaweweseka
Kakukosea nini
kama wewe una sababu ya kumchukia mbowe ,why yeye asiwe na sababu ya kumchukia marehemu na kushangilia kifo chake
 
Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.

Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo hicho! Watanzania wengi waliumizwa sana na kitendo hicho na ilipelekea mwanachama wa chadema wakati huo Lazaro Nyalandu kukihama chama hicho.

Laana bado inaendelea na Chadema imepoteza mvuto kwa wananchi, wameshindwa chaguzi zote za marudio, wameendelea kukimbiwa na wanachama wao muhimu ikiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Peter Msigwa.!
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu anaonekana dhahiri hana maelewano mazuri na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe. Kuna mpasuko na ufa wa kutisha ndani ya Chadema.

Baada ya miaka 3 kupita tunamuuliza Mbowe, Chadema kimepata faida gani kutokana na kushangilia kifo cha Magufuli?

Na bado Laana imetafuna na itaendelea kutafuna.
tahadhalisha=tahadharisha, mfuasi wa mzilikande unatesekea wapi!? 😂,kama vipi kazikwe pembeni yake Chato 😂😂😂
 
chama cha kihuni
IMG-20240701-WA0130.jpg
 
Huu ni uongo uliokomaa, Mbowe hakuwahi kufanya kitu cha namna hii, na wala, hawezi kufanya kitu cha namna hii. Hekima aliyonayo Mbowe haimruhusu kufanya kitu cha namna hii
Kama chama kinaelekea kusambaratika, tafadhali mnaombwa mumulaumu kwa kutumia sababu zingine na si sababu kama hii uliyoisema hapa wewe. Acheni kuchafua viongozi tafadhali

OIgopa Mungu na technolojia, video zipo za mbowe akishangilia
 
Inaenea wapi? Labda chumbani kwenu
Chadema imepoteza mvuto kila siku inapambana na marehemu badala idili na matatizo tuliyonayo sasa wenyewe wamekomaa kupoteza legacy ya marehemu, na ndio inayowapotezea imani kwa wananchi coz vitu alivyofanya Magufuli kwa Tanzania ni vikubwa na vimegusa sana watu na vinaonekana sasa kila mkisimama Magufuli, Magufuli utazan mmetumwa

Wananchi wanafaidi safari za Dar - Moro ni saa moja tu kwa sababu ya juhudi binafsi za Magufuli lakini majinga chadema yanajifanya hayaelewi hili na matokeo yake yanapuuzwa na wananchi
 
Wafuasi wa "kiongozi wa malaika",malizaneni hukohuko chama cha mambuzi [emoji23][emoji38],Msigwa tyr mnae na wengine watakuja tatizo nini!?.Mbowe kila wakati,atawaua kwa kihoro [emoji23][emoji23][emoji23]

Damu ya chacha wangwe inamlilia
 
Wananchi wanafaidi safari za Dar - Moro ni saa moja tu kwa sababu ya juhudi binafsi za Magufuli lakini majinga chadema yanajifanya hayaelewi hili na matokeo yake yanapuuzwa na wananchi
Wananchi sio wajinga ukifanya vitu vya maana vinaonekana, wakitaka legacy ifutike wabomoe kila alichofanya Magufuli na hawawezi kazi yao kuponda tu
 
Back
Top Bottom