Mbowe tulikuonya kuhusu kushangilia kifo cha Magufuli ukapuuza

Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.

Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo hicho! Watanzania wengi waliumizwa sana na kitendo hicho na ilipelekea mwanachama wa chadema wakati huo Lazaro Nyalandu kukihama chama hicho.

Laana bado inaendelea na Chadema imepoteza mvuto kwa wananchi, wameshindwa chaguzi zote za marudio, wameendelea kukimbiwa na wanachama wao muhimu ikiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Peter Msigwa.!
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu anaonekana dhahiri hana maelewano mazuri na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe. Kuna mpasuko na ufa wa kutisha ndani ya Chadema.

Baada ya miaka 3 kupita tunamuuliza Mbowe, Chadema kimepata faida gani kutokana na kushangilia kifo cha Magufuli?

Na bado Laana imetafuna na itaendelea kutafuna.
Karne hii unaamini mambo ya laana!?...tena toka kwa muuaji mkubwa
 
Ulipokosea ni kumtaja Nyarandu ambaye aliihama ccm akiwa mbunge wa ccm!! Amerudi ccm baada ya kifo cha JPM. Ni sawa na mwnamke/ mwanaume anayehama dini yake kwa sababu ya ndoa. Ahamii huko kwa sababu ya kuipenda dini,No,anahamia kwa sababu ya mume/ mke. Hivyo Nyalandu hakumpenda Magu,amerudi baada ya kuondoka kwake.
Msigwa amehamia ccm baada ya kushindwa uchaguzi tu. Mbowe amekuwepo kabla hajawa mbunge kwa support ya Mbowe huyohuyo, angekuwa anaipenda nchi yake angefanya kama Nchimbi au Mzee Kigunge ambao hawakuridhishwa na maamuzi ya kamati kuu, 2015,na wakasema wazi na kujiweka mbali na siasa za vyama vyao bila kuhamia kokote.
Wapinzani wanakuja ccm kuwaongoza hao wanajiita wafia chama. Wee subiri uone kina Peneza na Msigwa ndio utajua hujui.
 
Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.

Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo hicho! Watanzania wengi waliumizwa sana na kitendo hicho na ilipelekea mwanachama wa chadema wakati huo Lazaro Nyalandu kukihama chama hicho.

Laana bado inaendelea na Chadema imepoteza mvuto kwa wananchi, wameshindwa chaguzi zote za marudio, wameendelea kukimbiwa na wanachama wao muhimu ikiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Peter Msigwa.!
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu anaonekana dhahiri hana maelewano mazuri na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe. Kuna mpasuko na ufa wa kutisha ndani ya Chadema.

Baada ya miaka 3 kupita tunamuuliza Mbowe, Chadema kimepata faida gani kutokana na kushangilia kifo cha Magufuli?

Na bado Laana imetafuna na itaendelea kutafuna.
Mimi nilishangilia na nikapata furaha na amani ya moyo.Wewe hukushangilia umebaki na sononeko na msongo wa mawazo!
 
Yanahusiana vipi Msigwa kuhama chama na Mbowe kushangilia kifo cha Magufuli! Mtu ukiumiza watu siku ukifa watu uliowaumiza lazima watashangilia tu,tuishi vyema hapa duniani tunapita tu.
Mie nashangaa kuna watu walilia sana kifo cha jpm wala hawakuulizwa kwann wanalia lakini wale wenzangu na mimi ambao waliamua kuumwagilia moyo wakaanza kuandamwa shida nini? Hii ni sawa na kumlazimisha mtu kulia au kucheka yaan sijui unaumia ukiwa wapi
 
Halaf wale raia waliokasirika kuona baadhi ya watu wakiwadhibu viumbe wa miguu miwili na minne na kuumwagilia moyo baada ya kubwa la maadui kufa bado wanaumia hadi leo kwamba hawaelewi kwanini watu walifurahia kifo inamaana yule bwana alipokuwa akifanya matendo yake yaliyopelekea watu kufurahia kifo chake walikuwa wapi?
 
Hapo sasa.
 
Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.

Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo hicho! Watanzania wengi waliumizwa sana na kitendo hicho na ilipelekea mwanachama wa chadema wakati huo Lazaro Nyalandu kukihama chama hicho.

Laana bado inaendelea na Chadema imepoteza mvuto kwa wananchi, wameshindwa chaguzi zote za marudio, wameendelea kukimbiwa na wanachama wao muhimu ikiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Peter Msigwa.!
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu anaonekana dhahiri hana maelewano mazuri na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe. Kuna mpasuko na ufa wa kutisha ndani ya Chadema.

Baada ya miaka 3 kupita tunamuuliza Mbowe, Chadema kimepata faida gani kutokana na kushangilia kifo cha Magufuli?

Na bado Laana imetafuna na itaendelea kutafuna.
Kengeza ana laana sana. Tena wale wote walioshangilia kifo cha Dkt Magufuli wana nuksi fulani. Mchunguze kila anayejifanya kumkashifu Dkt Magufuli yaani hawana kabisa muelekeo wa kupendwa na watanzania. Mfano Dkt JK alijizolea heshima na umaarufu kweli kweli akisifika kama baba wa mabadiliko kwa kutuletea Dkt Magufuli, ila baada ya kifo chake na alivyoanze dhihaka basi upepo ukabadilika ghafla. Sijui wazuri hawafi siku wazuri yakiwafika sijui itakuwaje. Mfano mbobezi dodo alivyofikwa aisee jamii ilivyoshangilia. Ila viongozi wajifunze sana kucha kudhihaki vifo
 
Wangehama chama?
Kwa taarifa yako ni kuwa chama kilichohamwa na Watanzania wengi ni CCM. Kuhamwa kwa chama ni moyoni sio kwenye uigizaji kama ilivyokuwa kwa Msigwa ambaye hata kwenye press mnamwandikia cha kusema!
Mnawanunua watu kwa vitisho, pesa, vyeo mkidhani mmewin kumbe hamna kitu?
Mbona mnaogopa katiba mpya? Tume huru halisi ya uchaguzi na wanaowapinga mnawateka kuwapeleka KATAVI kuwaua? Danganyaneni kikuda hivyohivyo ila kuna siku GEN.Z itadhaliwa Tanganyika hii na mtakimbiana.
Mbowe ni zaidi ya Baraza zima la Mawaziri pamoja na PM wake.
Kama Msigwa tuu mnakaa Halmashauri kuu na KK kusherehekea kumpata itakuwa kubwa la maadui Kamanda wa anga?
 
Kwani Magufuri ni nani?
 
Kwa nini Mbowe anauwa kila anauetaka uenyekiti wa chadema? Kama anakubalika sana na wanachama si aruhusu ushindani?
 
Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.

Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo hicho! Watanzania wengi waliumizwa sana na kitendo hicho na ilipelekea mwanachama wa chadema wakati huo Lazaro Nyalandu kukihama chama hicho.

Laana bado inaendelea na Chadema imepoteza mvuto kwa wananchi, wameshindwa chaguzi zote za marudio, wameendelea kukimbiwa na wanachama wao muhimu ikiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Peter Msigwa.!
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu anaonekana dhahiri hana maelewano mazuri na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe. Kuna mpasuko na ufa wa kutisha ndani ya Chadema.

Baada ya miaka 3 kupita tunamuuliza Mbowe, Chadema kimepata faida gani kutokana na kushangilia kifo cha Magufuli?

Na bado Laana imetafuna na itaendelea kutafuna.
Tunamshukuru Mungu kwa kutuondolea yule kiongozi muovu bila damu kumwagika.
 
Unachekesha dogo
Yaani cdm na ccm nani amepoteza mvuto??

Kuthibitisha ccm imepoteza mvuto Kila kiongozi akihutubia analazimishwa kutaja jina raisi samia si china ya mara 10

Nadhani Kuna adhabu kuhuubia bila kutangaza jina la mungu wenu

Magufuli ni mfu anastahili kudhiakiwa
 
Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.

Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo hicho! Watanzania wengi waliumizwa sana na kitendo hicho na ilipelekea mwanachama wa chadema wakati huo Lazaro Nyalandu kukihama chama hicho.

Laana bado inaendelea na Chadema imepoteza mvuto kwa wananchi, wameshindwa chaguzi zote za marudio, wameendelea kukimbiwa na wanachama wao muhimu ikiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Peter Msigwa.!
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu anaonekana dhahiri hana maelewano mazuri na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe. Kuna mpasuko na ufa wa kutisha ndani ya Chadema.

Baada ya miaka 3 kupita tunamuuliza Mbowe, Chadema kimepata faida gani kutokana na kushangilia kifo cha Magufuli?

Na bado Laana imetafuna na itaendelea kutafuna.
Huna akili wewe!
Hivyo lile shetani lenu la Chattle kwa maovu yake angeweza kumpa laana mtu!
We ndo punguani kweli kweli!!
 
Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.
Kwa nini walokole mnapenda visasi na kuombeana mabaya?
Na mtu akipata majanga mnapenda kutoa ushuhuda kwa furaha kabisa kisa? Ana mawazo tofauti na unachoamini!
 
Back
Top Bottom