Mbowe tulikuonya kuhusu kushangilia kifo cha Magufuli ukapuuza

Kwa nyumbu ni mjerumani
Nyumbu ni wewe usiyejua Historia ya nchi hii pumbavu.Mreno alileta baadhi ya mazao na kujenga miji kadhaa Tanganyika.Mwarabu akaleta biashara ya utumwa na dini ya kiislam.Mjerumani kajenga Reli ya Kati na kutujengea barabara na maboma Tanzania.Pamoja na Bandari ya Dar es Salaam mwasisi wake ni Mjerumani.Mwingireza kajenga barabara na reli ya kwenda Arusha hadi Kenya.Sasa wewe mpumbavu huyo Magufuri kakuta kila kitu na kaanza kuibomoa tanzani ili kujeng nchi ya Chato na Sukuma land.Nyerere katumia miundo mbinu ya Mjerumani kusoma,Mwinyi katumia miundo mbinu ya Mwingereza kusoma,Mkapa katumia miundombinu ya Mjerumani,Mwingereza na Nyerere kusoma,Kikwete katumia miundombinu ya Mjerumani,Mwingereza na Nyerere kusoma,Magufuri katumia miundombinu ya Mjerumani,Mwingereza,Nyerere,Mwinyi,Mkapa na Kikwete kuongoza nchi.
 
Magufuli amejenga reli ya umeme pia
 
hata ungetaka kunikataza huwezi, akifa mboye mlevi wa konyagi lazima tunywe konyagi kushangilia kifo chake
Aisee hii kkali sana,Sasa wewe una ratiba ya atayetangulia,jifunze enzi zile za hayati Lowasa wangapi walidhani Wataons umauti wake lakini cha ajabu yeye(Lowasa)akaona umauti wao,Chezea AL mighty 🤔
 
hiyo utajua wewe sasa, akikufa mboye lazima tufanye party, kuimba kupokezana
 
Ben alitolewa sadaka na mbowe akishirikiana na genge la JAMBAZI ROSTAM AZIZI ILI KUMCHAFUA JPM....hapo ndipo nilipo mvulua kofia bwana elikaeli mboweeee
Hapana mtu wa kumvulia kofia ni dikteta magufuli wa chato ambaye hatujui aliko...
 
Dj ni mkatili sana linapokuja swala la uenyekiti
 
Hapana mtu wa kumvulia kofia ni dikteta magufuli wa chato ambaye hatujui aliko...
TANZANIA TUNATAKA DICTATOR MZALENDO..SIYO WAPUMBAVU TULIONAO SASA AMBAO WAMEPATA VYEO KWA KUTUMIA TOBO ZAO MBILI ZA CHINI NA SI AKILI ZAO VICHWANI .
 
Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.

Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo hicho! Watanzania wengi waliumizwa sana na kitendo hicho na ilipelekea mwanachama wa chadema wakati huo Lazaro Nyalandu kukihama chama hicho.

Laana bado inaendelea na Chadema imepoteza mvuto kwa wananchi, wameshindwa chaguzi zote za marudio, wameendelea kukimbiwa na wanachama wao muhimu ikiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Peter Msigwa.!
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu anaonekana dhahiri hana maelewano mazuri na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe. Kuna mpasuko na ufa wa kutisha ndani ya Chadema.

Baada ya miaka 3 kupita tunamuuliza Mbowe, Chadema kimepata faida gani kutokana na kushangilia kifo cha Magufuli?

Na bado Laana imetafuna na itaendelea kutafuna.
wamehamia kwenye matusi ya kumtusi rais na kuchangishana faini.
 
Back
Top Bottom