Mbowe tulikuonya kuhusu kushangilia kifo cha Magufuli ukapuuza

Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.

Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo hicho! Watanzania wengi waliumizwa sana na kitendo hicho na ilipelekea mwanachama wa chadema wakati huo Lazaro Nyalandu kukihama chama hicho.

Laana bado inaendelea na Chadema imepoteza mvuto kwa wananchi, wameshindwa chaguzi zote za marudio, wameendelea kukimbiwa na wanachama wao muhimu ikiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Peter Msigwa.!
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu anaonekana dhahiri hana maelewano mazuri na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe. Kuna mpasuko na ufa wa kutisha ndani ya Chadema.

Baada ya miaka 3 kupita tunamuuliza Mbowe, Chadema kimepata faida gani kutokana na kushangilia kifo cha Magufuli?

Na bado Laana imetafuna na itaendelea kutafuna.
Mbowe na chadema ni wapumbavu tena vipofu niliwaambia kuwa ni rahisi kupata katiba mpya na bora na ya haki chini ya magufuli na kamwe siyo hawa wahuni tulio nao sasa wakabisha na kunitukana tena hadi sasa wanajidanganya kuwa JPM aliwaibia kura kwenye uchaguzi 2020 .....chadema ni mazuzu haswa
 
Chadema ni wajinga sana
 
Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.

Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo hicho! Watanzania wengi waliumizwa sana na kitendo hicho na ilipelekea mwanachama wa chadema wakati huo Lazaro Nyalandu kukihama chama hicho.

Laana bado inaendelea na Chadema imepoteza mvuto kwa wananchi, wameshindwa chaguzi zote za marudio, wameendelea kukimbiwa na wanachama wao muhimu ikiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Peter Msigwa.!
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu anaonekana dhahiri hana maelewano mazuri na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe. Kuna mpasuko na ufa wa kutisha ndani ya Chadema.

Baada ya miaka 3 kupita tunamuuliza Mbowe, Chadema kimepata faida gani kutokana na kushangilia kifo cha Magufuli?

Na bado Laana imetafuna na itaendelea kutafuna.
Tuliwaambia hawakusikia
 
Ndio kwanza Chadema inakomaa na kuenea zaidi.
 
Freeman Aikael Mbowe anakutesa sana

Hii ni dhahiri Mbowe ni kamanda

Mbowe is a Brand
 
Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.

Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo hicho! Watanzania wengi waliumizwa sana na kitendo hicho na ilipelekea mwanachama wa chadema wakati huo Lazaro Nyalandu kukihama chama hicho.

Laana bado inaendelea na Chadema imepoteza mvuto kwa wananchi, wameshindwa chaguzi zote za marudio, wameendelea kukimbiwa na wanachama wao muhimu ikiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Peter Msigwa.!
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu anaonekana dhahiri hana maelewano mazuri na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe. Kuna mpasuko na ufa wa kutisha ndani ya Chadema.

Baada ya miaka 3 kupita tunamuuliza Mbowe, Chadema kimepata faida gani kutokana na kushangilia kifo cha Magufuli?

Na bado Laana imetafuna na itaendelea kutafuna.
Mawazo aliyekuwa mwenyekiti CDM chato aliuliza na mafisiemu VP huyu Hana laana???
 
Mbona humzungumzii babu yako na Bibi Yako wanaoza na kunuka huko makaburini unamzungumzia mume wa Janet alikuwa anakukula!?
 
Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.

Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo hicho! Watanzania wengi waliumizwa sana na kitendo hicho na ilipelekea mwanachama wa chadema wakati huo Lazaro Nyalandu kukihama chama hicho.

Laana bado inaendelea na Chadema imepoteza mvuto kwa wananchi, wameshindwa chaguzi zote za marudio, wameendelea kukimbiwa na wanachama wao muhimu ikiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Peter Msigwa.!
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu anaonekana dhahiri hana maelewano mazuri na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe. Kuna mpasuko na ufa wa kutisha ndani ya Chadema.

Baada ya miaka 3 kupita tunamuuliza Mbowe, Chadema kimepata faida gani kutokana na kushangilia kifo cha Magufuli?

Na bado Laana imetafuna na itaendelea kutafuna.
Huu ni uongo uliokomaa, Mbowe hakuwahi kufanya kitu cha namna hii, na wala, hawezi kufanya kitu cha namna hii. Hekima aliyonayo Mbowe haimruhusu kufanya kitu cha namna hii
Kama chama kinaelekea kusambaratika, tafadhali mnaombwa mumulaumu kwa kutumia sababu zingine na si sababu kama hii uliyoisema hapa wewe. Acheni kuchafua viongozi tafadhali
 
Yanahusiana vipi Msigwa kuhama chama na Mbowe kushangilia kifo cha Magufuli! Mtu ukiumiza watu siku ukifa watu uliowaumiza lazima watashangilia tu,tuishi vyema hapa duniani tunapita tu.
Hata Mbowe akifa tutashangilia amedhulumu sana wenzake
 
Nilipokea taarifa nikiwa naelekea nyumbani nikarudi nyumbani nikakesha baa mpaka asubuhi. Baada ya Mungu kutuepusha na JPM biashara yangu ikafunguka mpaka sasa nipo ujerumani nachukua ujuzi nikirudi Tanzania nipige hatua zaidi. Namshukuru Mungu kwa kutuangalia sisi waja wake.
Ujerumani pamevamia hadi matahira yanaenda.
Au ni kibaraka wa Madawa ya kulevya
Matajiri wamekutuma huko
 
Chadema ipo palepale, hakuna chsma chochote duniani kinachomtegemea mtu mmoja, Dr. Slaa alikuwa mgombea urais alitoka na chama kipo, Lowassa alikuwa mgombea urais alitoka chama kipo palepale, Sumaye alitika chama kipo palepale, ni mjinga tu asiyejua siasa hudhani chama ni mtu mmoja.
Chama cha Familia ya mbowe
 
SIkuwa shabiki wa magufuli eapecially maono yake na perception yake kwa wafanyabiashara ma matajiri, ila kwa uchapakazi na utendaji ngumu kupata kiongozi wa aina yake
1.Hizi flyovers tumeanza kuziona kipindi chake
2.leo tanzania tuna umeme mwingi hadi tunauza kwa majirani zetu, hii ilikuwa ndoto hadi nchi zilizoendelea kama southafrica wameshindwa kuwa na umeme mwingi kuliko mahitaji ila magufuli kaliweza hili

3.kipindi chake kulikuwa na uwajibikaji kwa watumishi wa umma
4.leo ukifika kibaha kuna njia nane ,wote tunajua foleni ukitoka mikoani kuingia dar ,sasahivi imekuwa ndoto
Kafanya mambo mengi kwa muda mchache apewe sifa zake hakuna asiyekuwa na mapungufu
Ila Mbowe alishangilia kifo chake
Mbowe ni adui wa maendeleo ya Tanzania
 
Back
Top Bottom