Mbowe tulikuonya kuhusu kushangilia kifo cha Magufuli ukapuuza

Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.

Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo hicho! Watanzania wengi waliumizwa sana na kitendo hicho na ilipelekea mwanachama wa chadema wakati huo Lazaro Nyalandu kukihama chama hicho.

Laana bado inaendelea na Chadema imepoteza mvuto kwa wananchi, wameshindwa chaguzi zote za marudio, wameendelea kukimbiwa na wanachama wao muhimu ikiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Peter Msigwa.!
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu anaonekana dhahiri hana maelewano mazuri na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe. Kuna mpasuko na ufa wa kutisha ndani ya Chadema.

Baada ya miaka 3 kupita tunamuuliza Mbowe, Chadema kimepata faida gani kutokana na kushangilia kifo cha Magufuli?

Na bado Laana imetafuna na itaendelea kutafuna.
Msigwa ni watu muhimu. You are kidding me..... Nyanda za Juu wamekataa. Period.
 
CCM bado hamjaamini kwamba CDM mmeshaishindwa? Mwenda kaenda zake bila kuaga akiiacha CDM kila siku inakomba wanachama wapya mitaani.
.Msigwa ni turufu iloyokufa...yaani ni sawa tu kama hao Covid.
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Nimezunguka dunia lakini hapa east africa watanzania tumekaa sana aisee. Sio kwamba sisi ni wavivu ni kwamba hatuna macho ya kuona fursa. Na mfumo wetu wa elimu unazidi kutukandamiza tuwe na akili za kijamaa.
Una hoja nzuri sana hii, tunahitaji kuamka na wakati ni Sasa
 
CCM bado hamjaamini kwamba CDM mmeshaishindwa? Mwenda kaenda zake bila kuaga akiiacha CDM kila siku inakomba wanachama wapya mitaani.
.Msigwa ni turufu iloyokufa...yaani ni sawa tu kama hao Covid.

Yani chama chenye mbunge mmoja ndiyo kimeshinda?
 
Hakuna laana yoyote kwa dikteta mshamba aliyeidharau covid -19 na ikamfyekelea mbali.
 
Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.

Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo hicho! Watanzania wengi waliumizwa sana na kitendo hicho na ilipelekea mwanachama wa chadema wakati huo Lazaro Nyalandu kukihama chama hicho.

Laana bado inaendelea na Chadema imepoteza mvuto kwa wananchi, wameshindwa chaguzi zote za marudio, wameendelea kukimbiwa na wanachama wao muhimu ikiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Peter Msigwa.!
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu anaonekana dhahiri hana maelewano mazuri na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe. Kuna mpasuko na ufa wa kutisha ndani ya Chadema.

Baada ya miaka 3 kupita tunamuuliza Mbowe, Chadema kimepata faida gani kutokana na kushangilia kifo cha Magufuli?

Na bado Laana imetafuna na itaendelea
Nawakumbusha tu chura kiziwi alisha sema yeye n mwendazake ni kitu kimoja
 
SIkuwa shabiki wa magufuli eapecially maono yake na perception yake kwa wafanyabiashara ma matajiri, ila kwa uchapakazi na utendaji ngumu kupata kiongozi wa aina yake
1.Hizi flyovers tumeanza kuziona kipindi chake
2.leo tanzania tuna umeme mwingi hadi tunauza kwa majirani zetu, hii ilikuwa ndoto hadi nchi zilizoendelea kama southafrica wameshindwa kuwa na umeme mwingi kuliko mahitaji ila magufuli kaliweza hili

3.kipindi chake kulikuwa na uwajibikaji kwa watumishi wa umma
4.leo ukifika kibaha kuna njia nane ,wote tunajua foleni ukitoka mikoani kuingia dar ,sasahivi imekuwa ndoto
Kafanya mambo mengi kwa muda mchache apewe sifa zake hakuna asiyekuwa na mapungufu

Mkuu ww umekua muungwana ndio maana umetumia;

"Mnyonge mnyongeni bali haki yake mpeni"

Ila wachawi na wenye husda za wazi pasi na hiyana wametumia;

"Nabii hakubaliki nyumbani"
 
Watu wenye maono ya ndani ya roho na wanaoongozwa na misingi ya kimungu walimtahadhalisha Freeman Mbowe na wapambe wake kuhusu kushangilia kifo cha hayati Magufuli kwani laana yake ni kali.

Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo hicho! Watanzania wengi waliumizwa sana na kitendo hicho na ilipelekea mwanachama wa chadema wakati huo Lazaro Nyalandu kukihama chama hicho.

Laana bado inaendelea na Chadema imepoteza mvuto kwa wananchi, wameshindwa chaguzi zote za marudio, wameendelea kukimbiwa na wanachama wao muhimu ikiwemo aliyekuwa mwenyekiti wa kanda ya Nyasa Peter Msigwa.!
Makamu mwenyekiti Tundu Lisu anaonekana dhahiri hana maelewano mazuri na mwenyekiti wa chama Freeman Mbowe. Kuna mpasuko na ufa wa kutisha ndani ya Chadema.

Baada ya miaka 3 kupita tunamuuliza Mbowe, Chadema kimepata faida gani kutokana na kushangilia kifo cha Magufuli?

Na bado Laana imetafuna na itaendelea kutafuna.
Walioshangilia kifo cha Magufuli ni CCM wakiongozwa na kinara aliyepo Ikulu sasa hivi. Walisema ''Mungu ameamua ugomvi''.
 
Yanahusiana vipi Msigwa kuhama chama na Mbowe kushangilia kifo cha Magufuli! Mtu ukiumiza watu siku ukifa watu uliowaumiza lazima watashangilia tu,tuishi vyema hapa duniani tunapita tu.
Mwambie ukweli huyu pimbi hajielewi kabisa!
 
Leo alikuwa anaongea kabuku anamsema magufuli kisha anawauliza watu mbona mnanishangaa..yaani hajui kama wanaomsikiliza ni watu wa Magufuli
 
Back
Top Bottom