Mbowe tulikuonya kuhusu kushangilia kifo cha Magufuli ukapuuza

Hatuendeshi maisha kwa kutegemea mizimu ya watu wa kale na viungo vya albino.
 
Mbowe kama kawaida yake ya udikteta akajifanya kichwa ngumu, akarekodi mpaka video akishangilia kifo hicho! Watanzania wengi waliumizwa sana na kitendo hicho na ilipelekea mwanachama wa chadema wakati huo Lazaro Nyalandu kukihama chama hicho.
Unakumbuka aliyofanyiwa na mwendazake?
Unakumbuka hadi alipoharibu mali zake?
Unakumbuka OUVU aliofanyiwa na mwendazake?
Mbona hao ccm ndio wameshangilia kuliko hata Mbowe?
 

Etwege bana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…