Mbowe: Tunamkumbusha Rais Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
4,016
Reaction score
6,759
"Mama anasema wabunge wafanye mikutano kwenye maeneo yao, mambo yaleyale aliyetueleza Mwendazake, tunakumbusha Mama Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi"-Freeman Mbowe

Mbowe.jpeg
 
Mbowe ameanzisha Vita na MUHIMILI WA BUNGE.....

SITOSHANGAA Agosti 31 SPIKA WA BUNGE MH.JOB NDUGAI akimuita Bungeni kuhojiwa kwa KUUTUSI MUHIMILI WETU WA BUNGE LA JMT.....

Ndg.Mbowe anaamua KUIKANYAGA KATIBA YETU ADHIMU kwa kulidharau na kulisigina bunge letu la JMT....

Ikiwa ndg.Mbowe anawafanyia KEDI wabunge....Je anawaheshimu kikatiba MAWAZIRI AMBAO NI WABUNGE ?!!!

Asipowaheshimu kikatiba mawaziri wetu ,je anaiheshimu SERIKALI HALALI YA NCHI....

Na kama haiheshimu SERIKALI HALALI YA NCHI ,je anamheshimu AMIRI JESHI WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ?!!!

Kama hamheshimu AMIRI JESHI WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ,je ndg.Mbowe anapeleka ujumbe gani kwetu RAIA WATIIFU WA SERIKALI HALALI ?!!!

Je nasi tumheshimu na TUSIMPUUZE ndugu Mbowe?!!!!

NAAMINI MH.SPIKA NDUGAI HATOLIACHA HILI LIPITE....HATOLIACHA ABADAAA

BINAFSI NAMPUUZA ndg.MBOWE MPUUZO MKUBWA......

N.B Reserve this comment a future reference.....

#KaziIendelee
 
Nashangaa ETI Mtu anaipenda Nchi yake, akasmama na kupinga KUWEPO na katiba mpya ya nchi ,akifikilia mtu mwenyewe atakua na Akili !! Taifa imara na bora hutegemea akili inayojal Msingi wa nchi usioweza tikiswa na Mtu awaye yeyote.Mtu apingae katiba Mpyaa si Mzalendo Bali mbinafsi na mwenye Roho mbaya!!
 
Basi haya wewe peke yako na wanachadema ndio wazalendo wa nchi hii.....

Sisi wengine vijana wa CCM na CCM yenyewe tunaopinga hiyo katiba si wazalendo....

UJINGA MTUPU
 
Sijataja vyama katika comment yangu," Comprehension in School was to make students comprehensive!!"sjui kama wewe ulipitia hili shuleni! Sjui!!
 
Huyu mama hata yeye hakuchaguliwa kihalalli. Yaaani Serikali na Bunge lote ni Fake. Magufuli na Yeye, pamoja na wabunge wao wote ni FAKE
 
"Mama anasema wabunge wafanye mikutano kwenye maeneo yao, mambo yaleyale aliyetueleza Mwendazake, tunakumbusha Mama Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi"-Freeman Mbowe
🤣😅😅mbowe ana maneno ya kukera
 
Mbowe ameanzisha Vita na MUHIMILI WA BUNGE.....

SITOSHANGAA Agosti 31 SPIKA WA BUNGE MH.JOB NDUGAI akimuita Bungeni kuhojiwa kwa KUUTUSI MUHIMILI WETU WA BUNGE LA JMT.....

Ndg.Mbowe anaamua KUIKANYAGA KATIBA YETU ADHIMU kwa kulidharau na kulisigina bunge letu la JMT....

Ikiwa ndg.Mbowe anawafanyia KEDI wabunge....Je anawaheshimu kikatiba MAWAZIRI AMBAO NI WABUNGE ?!!!

Asipowaheshimu kikatiba mawaziri wetu ,je anaiheshimu SERIKALI HALALI YA NCHI....

Na kama haiheshimu SERIKALI HALALI YA NCHI ,je anamheshimu AMIRI JESHI WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ?!!!

Kama hamheshimu AMIRI JESHI WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ,je ndg.Mbowe anapeleka ujumbe gani kwetu RAIA WATIIFU WA SERIKALI HALALI ?!!!

Je nasi tumheshimu na TUSIMPUUZE ndugu Mbowe?!!!!

NAAMINI MH.SPIKA NDUGAI HATOLIACHA HILI LIPITE....HATOLIACHA ABADAAA

BINAFSI NAMPUUZA ndg.MBOWE MPUUZO MKUBWA......

N.B Reserve this comment a future reference.....

#KaziIendelee
Kwani ni uongo wale wabunge nani alichaguliwa ukianza ma Ndigai mwenyewe??
 
Bunge lilopo ni la CCM. Inashangaza rais anapoendelea kuldhuia mikutano ya vyama vya siasa wakati akiruhusu wabunge waendelee na shughuri za siasa kwenye majibo yao.Je ni wsbunge wangapi wa upinzani wenye majibo.Hiki ni kiini macho
 
"Mama anasema wabunge wafanye mikutano kwenye maeneo yao, mambo yaleyale aliyetueleza Mwendazake, tunakumbusha Mama Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi"-Freeman Mbowe
Mkuu kwanza wabunge wenyewe na madiwani hawawezi fanya mikutano wanaogopa MPAKA vivuli vyao kwenye majimbo yao, wachache Sana wanaweza simama maana wanajua hawakuchaguliwa, na ndo hao wakisikia katiba MPYA wanatamani kimbilia chini ya uvungu mwa kitanda
 
Basi haya wewe peke yako na wanachadema ndio wazalendo wa nchi hii.....

Sisi wengine vijana wa CCM na CCM yenyewe tunaopinga hiyo katiba si wazalendo....

UJINGA MTUPU
Weye huwa ni lijinga fulani hivi lenye kiherehere kama umebanwa haja.Unalipuka tu!Tuliza kiuno ufikirie mambo kiutu uzima.🤔🤔😝😝😝
 
Yule muhuni wa Hai ndiyo alikuwa anawaweza hawa ukikiwa mpole wanavimba.
 
Back
Top Bottom