Hakuna mwenye ujasiri wa kufanya mikutano maana hata wajumbe waliwakataaMkuu kwanza wabunge wenyewe na madiwani hawawezi fanya mikutano wanaogopa MPAKA vivuli vyao kwenye majimbo yao, wachache Sana wanaweza simama maana wanajua hawakuchaguliwa, na ndo hao wakisikia katiba MPYA wanatamani kimbilia chini ya uvungu mwa kitanda