Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Nashangaa ETI Mtu anaipenda Nchi yake, akasmama na kupinga KUWEPO na katiba mpya ya nchi ,akifikilia mtu mwenyewe atakua na Akili !! Taifa imara na bora hutegemea akili inayojal Msingi wa nchi usioweza tikiswa na Mtu awaye yeyote.Mtu apingae katiba Mpyaa si Mzalendo Bali mbinafsi na mwenye Roho mbaya!!Mbowe ameanzisha Vita na MUHIMILI WA BUNGE.....
SITOSHANGAA Agosti 31 SPIKA WA BUNGE MH.JOB NDUGAI akimuita Bungeni kuhojiwa kwa KUUTUSI MUHIMILI WETU WA BUNGE LA JMT.....
Ndg.Mbowe anaamua KUIKANYAGA KATIBA YETU ADHIMU kwa kulidharau na kulisigina bunge letu la JMT....
Ikiwa ndg.Mbowe anawafanyia KEDI wabunge....Je anawaheshimu kikatiba MAWAZIRI AMBAO NI WABUNGE ?!!!
Asipowaheshimu kikatiba mawaziri wetu ,je anaiheshimu SERIKALI HALALI YA NCHI....
Na kama haiheshimu SERIKALI HALALI YA NCHI ,je anamheshimu AMIRI JESHI WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ?!!!
Kama hamheshimu AMIRI JESHI WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ,je ndg.Mbowe anapeleka ujumbe gani kwetu RAIA WATIIFU WA SERIKALI HALALI ?!!!
Je nasi tumheshimu na TUSIMPUUZE ndugu Mbowe?!!!!
NAAMINI MH.SPIKA NDUGAI HATOLIACHA HILI LIPITE....HATOLIACHA ABADAAA
BINAFSI NAMPUUZA ndg.MBOWE MPUUZO MKUBWA......
N.B Reserve this comment a future reference.....
#KaziIendelee
Basi haya wewe peke yako na wanachadema ndio wazalendo wa nchi hii.....Nashangaa ETI Mtu anaipenda Nchi yake, akasmama na kupinga KUWEPO na katiba mpya ya nchi ,akifikilia mtu mwenyewe atakua na Akili !! Taifa imara na bora hutegemea akili inayojal Msingi wa nchi usioweza tikiswa na Mtu awaye yeyote.Mtu apingae katiba Mpyaa si Mzalendo Bali mbinafsi na mwenye Roho mbaya!!
Sijataja vyama katika comment yangu," Comprehension in School was to make students comprehensive!!"sjui kama wewe ulipitia hili shuleni! Sjui!!Basi haya wewe peke yako na wanachadema ndio wazalendo wa nchi hii.....
Sisi wengine vijana wa CCM na CCM yenyewe tunaopinga hiyo katiba si wazalendo....
UJINGA MTUPU
π€£π π mbowe ana maneno ya kukera"Mama anasema wabunge wafanye mikutano kwenye maeneo yao, mambo yaleyale aliyetueleza Mwendazake, tunakumbusha Mama Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi"-Freeman Mbowe
chuma kimeshakuwa chuma chakavuSipati picha angeongea hivyo enzi za Chuma, mida kama hii ashakabidhiwa kwa nyampala anampima oil tu [emoji23][emoji23]
wazalendo fakeBasi haya wewe peke yako na wanachadema ndio wazalendo wa nchi hii.....
Sisi wengine vijana wa CCM na CCM yenyewe tunaopinga hiyo katiba si wazalendo....
UJINGA MTUPU
Kumetokea wimbi la walamba miguu eti wanajaribu kwenda na mama kwa kupinga katoba mpya. Sijui woga wao ni nini?Huyo ni Rais, si Mama.
Ukimuita sana Mama utataka nyonyo buree.
Kwani ni uongo wale wabunge nani alichaguliwa ukianza ma Ndigai mwenyewe??Mbowe ameanzisha Vita na MUHIMILI WA BUNGE.....
SITOSHANGAA Agosti 31 SPIKA WA BUNGE MH.JOB NDUGAI akimuita Bungeni kuhojiwa kwa KUUTUSI MUHIMILI WETU WA BUNGE LA JMT.....
Ndg.Mbowe anaamua KUIKANYAGA KATIBA YETU ADHIMU kwa kulidharau na kulisigina bunge letu la JMT....
Ikiwa ndg.Mbowe anawafanyia KEDI wabunge....Je anawaheshimu kikatiba MAWAZIRI AMBAO NI WABUNGE ?!!!
Asipowaheshimu kikatiba mawaziri wetu ,je anaiheshimu SERIKALI HALALI YA NCHI....
Na kama haiheshimu SERIKALI HALALI YA NCHI ,je anamheshimu AMIRI JESHI WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ?!!!
Kama hamheshimu AMIRI JESHI WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ,je ndg.Mbowe anapeleka ujumbe gani kwetu RAIA WATIIFU WA SERIKALI HALALI ?!!!
Je nasi tumheshimu na TUSIMPUUZE ndugu Mbowe?!!!!
NAAMINI MH.SPIKA NDUGAI HATOLIACHA HILI LIPITE....HATOLIACHA ABADAAA
BINAFSI NAMPUUZA ndg.MBOWE MPUUZO MKUBWA......
N.B Reserve this comment a future reference.....
#KaziIendelee
Bunge lilopo ni la CCM. Inashangaza rais anapoendelea kuldhuia mikutano ya vyama vya siasa wakati akiruhusu wabunge waendelee na shughuri za siasa kwenye majibo yao.Je ni wsbunge wangapi wa upinzani wenye majibo.Hiki ni kiini machoMbowe ameanzisha Vita na MUHIMILI WA BUNGE.....
SITOSHANGAA Agosti 31 SPIKA WA BUNGE MH.JOB NDUGAI akimuita Bungeni kuhojiwa kwa KUUTUSI MUHIMILI WETU WA BUNGE LA JMT.....
Ndg.Mbowe anaamua KUIKANYAGA KATIBA YETU ADHIMU kwa kulidharau na kulisigina bunge letu la JMT....
Ikiwa ndg.Mbowe anawafanyia KEDI wabunge....Je anawaheshimu kikatiba MAWAZIRI AMBAO NI WABUNGE ?!!!
Asipowaheshimu kikatiba mawaziri wetu ,je anaiheshimu SERIKALI HALALI YA NCHI....
Na kama haiheshimu SERIKALI HALALI YA NCHI ,je anamheshimu AMIRI JESHI WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ?!!!
Kama hamheshimu AMIRI JESHI WA MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ,je ndg.Mbowe anapeleka ujumbe gani kwetu RAIA WATIIFU WA SERIKALI HALALI ?!!!
Je nasi tumheshimu na TUSIMPUUZE ndugu Mbowe?!!!!
NAAMINI MH.SPIKA NDUGAI HATOLIACHA HILI LIPITE....HATOLIACHA ABADAAA
BINAFSI NAMPUUZA ndg.MBOWE MPUUZO MKUBWA......
N.B Reserve this comment a future reference.....
#KaziIendelee
Mkuu kwanza wabunge wenyewe na madiwani hawawezi fanya mikutano wanaogopa MPAKA vivuli vyao kwenye majimbo yao, wachache Sana wanaweza simama maana wanajua hawakuchaguliwa, na ndo hao wakisikia katiba MPYA wanatamani kimbilia chini ya uvungu mwa kitanda"Mama anasema wabunge wafanye mikutano kwenye maeneo yao, mambo yaleyale aliyetueleza Mwendazake, tunakumbusha Mama Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi"-Freeman Mbowe
Unajua maana ya 'aliwaweza'....Yuko wapi sasa hivi?
Weye huwa ni lijinga fulani hivi lenye kiherehere kama umebanwa haja.Unalipuka tu!Tuliza kiuno ufikirie mambo kiutu uzima.π€π€πππBasi haya wewe peke yako na wanachadema ndio wazalendo wa nchi hii.....
Sisi wengine vijana wa CCM na CCM yenyewe tunaopinga hiyo katiba si wazalendo....
UJINGA MTUPU
π€£π€£Weye huwa ni lijinga fulani hivi lenye kiherehere kama umebanwa haja.Unalipuka tu!Tuliza kiuno ufikirie mambo kiutu uzima.π€π€πππ
Ni kweli kabisa, tunawapuuza kwa kusema ukweli.Huyu faru John na genge la ile saccos yake ni wakupuuza.
AliwezwaUnajua maana ya 'aliwaweza'....
ama ww ni mjinga unajitoa ufahamu...