Mbowe: Tunamkumbusha Rais Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi

Hakuna mwenye ujasiri wa kufanya mikutano maana hata wajumbe waliwakataa
 
"Mama anasema wabunge wafanye mikutano kwenye maeneo yao, mambo yaleyale aliyetueleza Mwendazake, tunakumbusha Mama Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi"-Freeman Mbowe

Huyu makengeza mushawahi kumwamini? Huyu anabweka ili masirahi yake yatimie na hao watu wake. Saizi zoezi kuu ni kutingisha kiberti. Huyu si aligombea kama hao wabunge hawakuchaguliwa na wananchi mbona yeye pia alishiriki kwenye uchaguzi? Ameona mama hatiki kukubali ujenda yao.
 
"Mama anasema wabunge wafanye mikutano kwenye maeneo yao, mambo yaleyale aliyetueleza Mwendazake, tunakumbusha Mama Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi"-Freeman Mbowe

Kweli wanasiasa ni ngumu sana kuwaelewa aiseee MBOWE sialiomba kukutana na RAISI.Sasa anamtambua vipi MAMA SAMIA kuwa ni RAISI na wakati hautambui uchaguzi ule unaomfanya sasa hv awe RAISI.Maana ni unafiki kuwakataa wabunge na madiwani halafu ukamkubari RAISI wa JMT ambae anatokana na uchaguzi ule ule.SHIDA NI MSIMAMO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…