Mbowe ni Shujaa
SijikitiJikite kwenye mada
Hakika..ukweli ni kwamba wameamua kufanya maandamano ya AMANI.
..Serikali izifanyie kazi hoja walizozitoa.
Mwanasiasa sio mtu wa Mchezo mchezo
alipewa kandarasi ya miaka 7 kuutangazia Umma kuwa Mmasai ni Fisadi na akaifanya kwa ufanisi kuliko kazi yoyote nyingine
akapewa tena kandarasi ya Miaka 6 ya kumtangaza Ngosha kuwa ni Dikteta
akiwa kwny Public hujifanya anaempaga Kandarasi kuwa ni Adui yake
walipofurushwa na Ngosha walimtumia kuwasaidia kupata hifadhi nje ya Nchi na ngosha alipokatwa kichwa wakamtumia tena kuwasaidia kurudi
sasa hivi wanatumika tena kusaidia kupatikana kwa fedha za Millenium challenge
Hujui kitu
Mimi natamani kujua hayo maandamano ya shari anayosema Mwenyekiti yanakuwaje?
Nimesema humu, serikali imeshajua maandamano hayana madhara yoyote na kutumia nguvu kuyazuia ndio kunayapa 'kiki' sasa wameamua kuwaacha watembee barabarani na mabango.
Rais Samia anaendelea kujizolea sifa za ustahimilivu na kuheshimu demokrasia.
Hujui kitu
Acha upumbavu hii nchi sio ya mtu amejimiliki yake ni ya WaTanzania wenye kuhitaji HAKI na amani .
Unajadili mada gani? Umekosea njia . Au hujasoma kichwa cha habari vizuri?Acha upumbavu hii nchi sio ya mtu amejimiliki yake ni ya WaTanzania wenye kuhitaji HAKI na amani .
Hizo 4R bado hazijqkqq Sawa na kwa haki na laIma zidaiwe kwa namna yeyote Ile.
Katiba na Tume huru sio blablaah! Acha kuwa chawa!.