Mimi natamani kujua hayo maandamano ya shari anayosema Mwenyekiti yanakuwaje?
Nimesema humu, serikali imeshajua maandamano hayana madhara yoyote na kutumia nguvu kuyazuia ndio kunayapa 'kiki' sasa wameamua kuwaacha watembee barabarani na mabango.
Rais Samia anaendelea kujizolea sifa za ustahimilivu na kuheshimu demokrasia.
..sifa ya ustahamilivu.
..sifa ya tume huru ya uchaguzi.
..sifa ya katiba mpya na bora.
..sifa ya uchumi bora na fursa kwa Watz.