Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 4,548
- 9,740
CHADEMA wanataka maandamano, ila wanaandama huku wakiwa hawana ajenda ya maana, wanakuwa watu wa kurukia matukio,Katika uhalisia, umafanya amani na ustaarabu kwa mtu anayethamini amani na ustaarabu. Kufanya ustaarabu dhidi ya mhuni, unakuwa unapoteza muda.
CHADEMA waendelee na maandamano ya amani huku wakipima kama CCM inaelewa lugha ya kistaarabu? Kama haielewi, basi lazima.kwenda kwa namna ambayo wataelewa.
Suala la katiba walishaambiwa litakavyokuwa, ila wao wanataka iwe kesho asubuhi,