Mimi natamani kujua hayo maandamano ya shari anayosema Mwenyekiti yanakuwaje?
Nimesema humu, serikali imeshajua maandamano hayana madhara yoyote na kutumia nguvu kuyazuia ndio kunayapa 'kiki' sasa wameamua kuwaacha watembee barabarani na mabango.
Rais Samia anaendelea kujizolea sifa za ustahimilivu na kuheshimu demokrasia.
Acha kujitoa fahamu we pimbi. Maandamano ya shari yakoje? Zaidi ya kubeba siraha, kuharibu mali na amani nchi. Pumbavu mkubwa wewe. Shwaini...sifa ya ustahamilivu.
..sifa ya tume huru ya uchaguzi.
..sifa ya katiba mpya na bora.
..sifa ya uchumi bora na fursa kwa Watz.
Acha kujitoa fahamu we pimbi. Maandamano ya shari yakoje? Zaidi ya kubeba siraha, kuharibu mali na amani nchi. Pumbavu mkubwa wewe. Shwaini.
Naomba uthibitisho kuwa kauli hii kaitoa Mbowe.
Wafanye tu maandamano ya shari, uamuzi ni wao. Kupanga ni kuchagua.
Mtu yeyote ukimnyima haki ana uwezo wa kulazimisha aipate, kila jambo alifanyalo binaadamu lina jema na baya.
Inaelekea wewe tayari unatakwa lako kwenye hii mada, Mbowe kasema wanaouwezo wa kheri na shari, wewe kheri hautaki ijadiliwe bali unataka shari tu ndiyo ijadiliwe! Kosa hapa ni kuiweka hoja ya kheri, ingeondolewa ibakie shari mnayoitaka.Unajadili mada gani? Umekosea njia . Au hujasoma kichwa cha habari vizuri?
Sawa ila rohoni mwako haupendi, kwani hizi akili ndogo zilikuwa wapi miaka yote?
Mimi natamani kujua hayo maandamano ya shari anayosema Mwenyekiti yanakuwaje?
Nimesema humu, serikali imeshajua maandamano hayana madhara yoyote na kutumia nguvu kuyazuia ndio kunayapa 'kiki' sasa wameamua kuwaacha watembee barabarani na mabango.
Rais Samia anaendelea kujizolea sifa za ustahimilivu na kuheshimu demokrasia.
Hakuna asiyeweza kuiba au kuua ni uamzi wako tu.Wafanye tu maandamano ya shari, uamuzi ni wao. Kupanga ni kuchagua.
Yaan kupanga maandamano halafu kuyafanya ni mafanikio ya kwanza!!!Mkimaliza kutembea na mabango barabarani mtuambie mmefanikiwa katika agenda gani mkuu katika hizo mnazoandamania.
Yupo sahihi kabisaKatika maandamano yaliyofanyika Mwanza, Februari 16, 2024, Freeman Mbiwe amesema "Tuna uwezo wa kufanya maandamano ya amani, lakini vilevile tuna uwezo wa kufanya maandamano ya shari. Nawaambia polisi na usalama wa taifa, waelezeni mabosi zenu, sisi kitu tunachokisema viongozi wa CHADEMA tunawasilisha hisia za mamilioni ya watu hawa."
Moderator naomba muiondoe hii mada. Sio mada niliyopost. Hii ni ya kwenu binafsi kwa matakwa yenuKatika maandamano yaliyofanyika Mwanza, Februari 16, 2024, Freeman Mbiwe amesema "Tuna uwezo wa kufanya maandamano ya amani, lakini vilevile tuna uwezo wa kufanya maandamano ya shari. Nawaambia polisi na usalama wa taifa, waelezeni mabosi zenu, sisi kitu tunachokisema viongozi wa CHADEMA tunawasilisha hisia za mamilioni ya watu hawa."
Hivi mbona hampendi kuambiwa ukweli?Katika maandamano yaliyofanyika Mwanza, Februari 16, 2024, Freeman Mbiwe amesema "Tuna uwezo wa kufanya maandamano ya amani, lakini vilevile tuna uwezo wa kufanya maandamano ya shari. Nawaambia polisi na usalama wa taifa, waelezeni mabosi zenu, sisi kitu tunachokisema viongozi wa CHADEMA tunawasilisha hisia za mamilioni ya watu hawa."
..sifa ya ustahamilivu.
..sifa ya tume huru ya uchaguzi.
..sifa ya katiba mpya na bora.
..sifa ya uchumi bora na fursa kwa Watz.
Mwambie yeye ajikite kwenye namba yake ya tigo.Sijikiti