Pre GE2025 Mbowe: Tunaweza kufanya maandamano ya shari endapo hatutosikilizwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CHADEMA wanataka maandamano, ila wanaandama huku wakiwa hawana ajenda ya maana, wanakuwa watu wa kurukia matukio,
Suala la katiba walishaambiwa litakavyokuwa, ila wao wanataka iwe kesho asubuhi,
 
Aandamane na wanae na familia yake
 
Kwa kuonyesha demokrasia ya mchongo sio!!?

Kweli Huyu jamaa ni kada mwaminifu was kijani kibichi!hatutofautiani sana!!
 
Kwa hiyo Maandamano ya Amani hawajaridhika nayo, wanataka ya fujo.
Wameshazoea fujo. Hawakutarajia kama maandamano yao yatakubaliwa...sasa wanataka maandamano ya kusababisha vurugu, ndivyo walivyo.
 
Wewe mamako aliliwa mtungo kwenye mkesha wa mwenge baada ya kulewa mataputapu hapo ulipo humjui babako halisi ndiyo maana huna adabu.
Bora mama ako angetoa ndogo kwenye bao lako ili ukacheze na mavi
 
Wanataka wabebe mapanga na shotgun
Walisema mzaha mzaha mwisho hutumbuka usaha, wameshaonja asali wanataka kuchonga Mzinga, ila selikali huu mzaha wanaofanya ipo siku watakuja kulia,wakumbuke kilichomkuta Gadafi
 
CHADEMA tuna mwenyekiti wa hovyo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…