TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Nashangaa,kwani aliombwa ?Tatizo ni Uenyekiti tu???
Mbona FAM hoja zake ni dhaifu sana 😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashangaa,kwani aliombwa ?Tatizo ni Uenyekiti tu???
Mbona FAM hoja zake ni dhaifu sana 😀😀😀
Nyumbu wa Sultan Mbowe mna bidii sanaAmekaa jela muda gani wakati ameshinda kesi zake zote? Na nyingine amefutiwa. Sana sana amekaa mahabusu. Angalau Heche, Lema, na viongozi wa Bawacha na Bavicha wamepitia huko.
Amandla...
Makonyagi lazima aingie mitiniBado hajasema, tunasubiri mdahalo
NyumbuBye bye,
Amandla...
Ilikuwa na ni vyema sana viongozi wa kisiasa, kijamii, kifamilia kitaasisi hata KIROHO, kuwajenga na kuwaandaa watu wengine kwa uongozi. Hii tabia ya kung'ang'ania madaraka hata Nyerere hakuwa nayo. Ndiyo sababu ya migogoro duniani hasa Africa.Mbowe kupitia Crown FM anasema kwenye uchaguzi wa kwanza Lissu akiwa CHADEMA Mbowe alimpa gari yake binafsi ili akafanyie kampeni. Pia anasema Nyumba aliyokuwa akiishi Lissu pale Dodoma ilikuwa yake aliyopewa na Serikali Ila akamuachia Lissu aishi yeye Mbowe akaenda kupanga.
View attachment 3194386
Mbowe ana mengi dhidi ya Lissu na akiamua kufunguka, Lissu atarudi Ubeleji na kwenye uchaguzi hatakuwepo.Yote haya ni Lissu kuchukua form ya kugombea uenyekiti,haya ngoja tusubiri Lissu naye afunguke yake hadi hiyo 21 January tutasikia mengi sana. Mbowe anajua kuchamba kama mzaramo vile.
Mtu mwenye risasi mwilini ndiyo anataka kuwa Mwenyekiti??? Yaani CHADEMA mumekosa watu wote ndiyo mnauletea mtu mwenye vyuma na shaba mwilini?Lissu nae alikubali kufa kwa ajili ya chama, lipo lubwa? Lissu ana risasi mwilini, hayo mbowe anaona ni kidogo?
Mkuu hizi sababu anazitoa kuonyesha ule msemo wa Kiswahili usemao "Mfafhili Mbuzi......"Sababu hizi zote hazina uhusiano kwa Lissu Kugombea Uenyekiti
Yaani Mbowe ulikuwa ukifanya hivyo ukiwa na hesabu za moja kichwani siyo?
Imekula kwako
Mbowe huyu ambaye yuko mfukoni mwa Abdul au mwingi? Hii bishara ya mama Abdul na Sultan tunaifunga rasmi tarehe 21 January 2025Mbowe ana mengi dhidi ya Lissu na akiamua kufunguka, Lissu atarudi Ubeleji na kwenye uchaguzi hatakuwepo.
Mbowe ni mkorofi hakuna sababu nyingine, temu hii alivyokabwa, kama anajua chama hicho kipo kwa minajiri ya chama cha CCM, nakuambia atasema temu hiiMkuu hizi sababu anazitoa kuonyesha ule msemo wa Kiswahili usemao "Mfafhili Mbuzi......"
Tuhuma za Lissu Mbowe hakuzitegemea..
Watoto wadogo na washamba ndio mnamhusisha Mbowe na pesa za Abdul. Kwa taarifa yako Mbowe ni tajiri tangu Mwalimu Nyerere anafundisha Pugu Sekondari! Nini Abdul! Ahahahahaha!!!Mbowe huyu ambaye yuko mfukoni mwa Abdul au mwingi? Hii bishara ya mama Abdul na Sultan tunaifunga rasmi tarehe 21 January 2025