Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
Mbowe, rafiki yangu ukimalizana na kesi pumzika kufanya siasa ili upate muda wa kupumzika na kujitafakari upya huku nje hauna watu una wasaliti watupu.
Hawakutakii mema. Wanataka ukae jela miaka wakutumie tu kama chambo wenyewe huku uraiani wanapiga hela za wafadhili Kujitoa ulikokwisha fanya kunatosha kwa sasa. Kila mtu ameona najua muda si mrefu unatoka ukitoka fukuza hawa wahuni wote.
Watoto wako mke wako ndugu zako wanapambana utoke hawa wanaojiita wafuasi wako hawataki utoki kwa nini? Inasikitisha sana.