Mbowe, ukitoka jela pumzika siasa. Wafuasi wako wanakusaliti

Mbowe, ukitoka jela pumzika siasa. Wafuasi wako wanakusaliti

Wanaukumbi.

Mbowe, rafiki yangu ukimalizana na kesi pumzika kufanya siasa ili upate muda wa kupumzika na kujitafakari upya huku nje hauna watu una wasaliti watupu.

Hawakutakii mema. Wanataka ukae jela miaka wakutumie tu kama chambo wenyewe huku uraiani wanapiga hela za wafadhili Kujitoa ulikokwisha fanya kunatosha kwa sasa. Kila mtu ameona najua muda si mrefu unatoka ukitoka fukuza hawa wahuni wote.

Watoto wako mke wako ndugu zako wanapambana utoke hawa wanaojiita wafuasi wako hawataki utoki kwa nini? Inasikitisha sana.
Umerudi tena..
 
Mbowe, anasulubishwa badala ya CHADEMA kumpigania apate uhuru watu wanageuza mchongo!
 
CHADEMA mmempa Philip Mangula faili la kesi ya Mbowe ili akafanye nalo nini?
Mnamtukana Zitto kabwe wakati huo huo mnaomba msamaha viongozi wa CCM wamuombe Rais Samia amsamehe
Acheni siasa za Kalaghabao!
 
Vijana wa CHADEMA kwenye mitandao mnachojua ni matusi tu. Kichwani weupee “Headless Chickens” 😁
 
CHADEMA ile ya Dr. Slaa ndiyo ilikuwa CHADEMA hii ya sasa inayoendeshwa ‘SPACE’ na ‘CLUB HOUSE’
Kwa sasa CHADEMA ni sawa na CUF, NCCR-Mageuzi na CHAUMA.
 
Mbona wewe hujaacha kuwa upande wa watesaji,wanyonyaji,wauaji?
 
Kutegemea lissu afight ili mbowe atoke rumande ni kujidanganya, kwani mnadhani lissu hajui ambacho mbowe alimfanyia? Hamkumbuki lisu aliwahi kusema angependa mbowe ahojiwe na vyombo vya dola? Unganisheni dots!
 
Wewe lazima urukie post yangu zote ni hasira za kumtafuna Bi mkubwa wako mimi hata siku maja sijawahi kukujibu mkataze bi mkubwa wako la sivyo takutafuna na wewe.

Teh teh teh
Angalia ulivyo mpumbavu... mmeqmka sasa huko misikitini mnakokula bure jasho letu sio
 
Mbona hata rzuku huwa anazi bonda pake yake wakati sie ndio tumeku tukimpa wabunge
 
Back
Top Bottom