Mbowe, ukitoka jela pumzika siasa. Wafuasi wako wanakusaliti

Apumzike siasa wakati yuko kazini huna akili wewe,anayoyafanya yoooote yamepangwa na analipwa vzr tu!!
 
Mbowe yuko imara wakati wote ndiyo maana ccm wameshindwa na hawana njia nyingine kamwe. Mwamba tunakupenda Sana Mungu wa mbinguni akupe maisha marefu ili ndoto yako uione ikitimia Tz.
 
Wanaukumbi.

Mbowe, rafiki yangu ukimalizana na kesi pumzika kufanya siasa ili upate muda wa kupumzika na kujitafakari upya huku nje hauna watu una wasaliti watupu.

Hawakutakii mema. Wanataka ukae jela miaka wakutumie tu kama chambo wenyewe huku uraiani wanapiga hela za wafadhili Kujitoa ulikokwisha fanya kunatosha kwa sasa. Kila mtu ameona najua muda si mrefu unatoka ukitoka fukuza hawa wahuni wote.

Watoto wako mke wako ndugu zako wanapambana utoke hawa wanaojiita wafuasi wako hawataki utoki kwa nini? Inasikitisha sana.
SIPANGWINGWI!
Wewe pambana na yako na maisha yako.
Huyu ni mwanaSiasa na siasa ni kazi aliyoipmbania hadi kieleweke.
Unataka aje kula kwa nyumbani yako.??
 
Wanaukumbi.

Mbowe, rafiki yangu ukimalizana na kesi pumzika kufanya siasa ili upate muda wa kupumzika na kujitafakari upya huku nje hauna watu una wasaliti watupu.

Hawakutakii mema. Wanataka ukae jela miaka wakutumie tu kama chambo wenyewe huku uraiani wanapiga hela za wafadhili Kujitoa ulikokwisha fanya kunatosha kwa sasa. Kila mtu ameona najua muda si mrefu unatoka ukitoka fukuza hawa wahuni wote.

Watoto wako mke wako ndugu zako wanapambana utoke hawa wanaojiita wafuasi wako hawataki utoki kwa nini? Inasikitisha sana.
Ritzabet umefufuka
 
..wasiotaka Mbowe atoke ni Ssh, Dpp, na " wasiojulikana. "

..Ssh alimeza ndoana ya uongo kwamba wenzake na Mbowe walishapatikana na hatia, na akaitangazia dunia hivyo.

..Ssh anashindwa atoke vipi na kukiri kuwa kesi ni ya kubumba na kumuachia Mbowe.
 
Wanaukumbi.

Mbowe, rafiki yangu ukimalizana na kesi pumzika kufanya siasa ili upate muda wa kupumzika na kujitafakari upya huku nje hauna watu una wasaliti watupu.

Hawakutakii mema. Wanataka ukae jela miaka wakutumie tu kama chambo wenyewe huku uraiani wanapiga hela za wafadhili Kujitoa ulikokwisha fanya kunatosha kwa sasa. Kila mtu ameona najua muda si mrefu unatoka ukitoka fukuza hawa wahuni wote.

Watoto wako mke wako ndugu zako wanapambana utoke hawa wanaojiita wafuasi wako hawataki utoki kwa nini? Inasikitisha sana.
Awe Kama wewe ulivyofyata kwenye ngada baada kukamatwa China siyo?

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Wanaukumbi.

Mbowe, rafiki yangu ukimalizana na kesi pumzika kufanya siasa ili upate muda wa kupumzika na kujitafakari upya huku nje hauna watu una wasaliti watupu.

Hawakutakii mema. Wanataka ukae jela miaka wakutumie tu kama chambo wenyewe huku uraiani wanapiga hela za wafadhili Kujitoa ulikokwisha fanya kunatosha kwa sasa. Kila mtu ameona najua muda si mrefu unatoka ukitoka fukuza hawa wahuni wote.

Watoto wako mke wako ndugu zako wanapambana utoke hawa wanaojiita wafuasi wako hawataki utoki kwa nini? Inasikitisha sana.
Acha umbea wewe anasalitiwa na nani? Mbowe ndiye masihi wa Tanganyika.
 
Ritzabet umefufuka
Lazima afufuke... hii ni minyoo ya bakwata ilikua imelegea kwa njaa na kuzimia pale Mtambani, Manyema na kwa mtoro sasa imenyanyuka baada ya kuisikia harufu ya ubwabwa toka kwa yule bibi macho...

Zamu ya mwenzao so wanakula bure now.
 
Huyu mjanja wa JF anaandika nondo hahahha
 
Back
Top Bottom