Mbowe uliwauza watoto wa watu kumbe ulikuwa mchumia tumbo. REST IN PEACE BEN SAANANE

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Salaam zangu kwako ni hizo. Nilikupenda sana kama mpigania uhuru kumbe MPIGANIA TUMBO.

WARUDISHE BEN SAANANE , Mawazo na wengine waliokufa wakiamini ulikuwa mwenzao na kujitoa uhai wao in order to show solidarity with you.

Warudishe watoto wa watu.
 
Attachments

  • HQaDDSFWUAAf8Mv.jpg
    HQaDDSFWUAAf8Mv.jpg
    161.2 KB · Views: 15
Salaam zangu kwako ni hizo. Nilikupenda sana kama mpigania uhuru kumbe MPIGANIA TUMBO.

WARUDISHE BEN SAANANE , Mawazo na wengine waliokufa wakiamini ulikuwa mwenzao na kujitoa uhai wao in order to show solidarity with you.

Warudishe watoto wa watu.
Leo hadi wewe unamkataa Mbowe😀
Ulikuwa unamtetea sana mkuu,Pale wenzio walipomwita msaliti , ulimkingia sana kifua.
 
Salaam zangu kwako ni hizo. Nilikupenda sana kama mpigania uhuru kumbe MPIGANIA TUMBO.

WARUDISHE BEN SAANANE , Mawazo na wengine waliokufa wakiamini ulikuwa mwenzao na kujitoa uhai wao in order to show solidarity with you.

Warudishe watoto wa watu.
Hili ni funzo kwa kila kijana anaetumia mihemko kuwaamini wanasiasa
 
Salaam zangu kwako ni hizo. Nilikupenda sana kama mpigania uhuru kumbe MPIGANIA TUMBO.

WARUDISHE BEN SAANANE , Mawazo na wengine waliokufa wakiamini ulikuwa mwenzao na kujitoa uhai wao in order to show solidarity with you.

Warudishe watoto wa watu.
Hapana usimuonee na kumsingizia Mbowe kiasi hiki..

Wakulaumiwa ni waliohusika kuwadhuru hao vijana.
 
Mbowe anajua akina Ben Saa8 na wote waliotekwa wako wapi na wameuwawa vipi. Mzee senge sana yule
Kijana wa "Mwanahalisi" alivyo sema Mbowe anajua alipo saa8 vijana wa makengeza walimvaa kwa matusi na kashifa za kutisha. Kijana akapoteza nuru kwenye chama...
Angesikilizwa mapema ukute tungekuwa tumepata taarifa mapema za memba mwenzetu
 
STOP THIS NONSENSE. THESE WERE FIGHTING FOR THEIR DEMOCRATIC ENDEVOURS UNDER THE LEADERHIP OF MBOWE, WHILE MBOWE HIMSELF WAS ATRAITOR, ccm ACCOMPLICE
Hamtaki kuambiwa ukweli mtakufa wengi na siasa zenu za mihemko

Siasa sio vita ni akili
 
Back
Top Bottom