Bila Mbowe hata Lissu asingepata platform ya kumkuza kisiasa. Sanasana angebakia kama mwanasheria machachari.Salaam zangu kwako ni hizo. Nilikupenda sana kama mpigania uhuru kumbe MPIGANIA TUMBO.
WARUDISHE BEN SAANANE , Mawazo na wengine waliokufa wakiamini ulikuwa mwenzao na kujitoa uhai wao in order to show solidarity with you.
Warudishe watoto wa watu.