Ben Saanane tunakukumbukaSalaam zangu kwako ni hizo. Nilikupenda sana kama mpigania uhuru kumbe MPIGANIA TUMBO.
WARUDISHE BEN SAANANE , Mawazo na wengine waliokufa wakiamini ulikuwa mwenzao na kujitoa uhai wao in order to show solidarity with you.
Warudishe watoto wa watu.
Leo hadi wewe unamkataa Mbowe😀Salaam zangu kwako ni hizo. Nilikupenda sana kama mpigania uhuru kumbe MPIGANIA TUMBO.
WARUDISHE BEN SAANANE , Mawazo na wengine waliokufa wakiamini ulikuwa mwenzao na kujitoa uhai wao in order to show solidarity with you.
Warudishe watoto wa watu.
Leo hadi wewe unamkataa Mbowe😀
Ulikuwa unamtetea sana mkuu,Pale wenzio walipomwita msaliti , ulimkingia sana kifua.
Hili ni funzo kwa kila kijana anaetumia mihemko kuwaamini wanasiasaSalaam zangu kwako ni hizo. Nilikupenda sana kama mpigania uhuru kumbe MPIGANIA TUMBO.
WARUDISHE BEN SAANANE , Mawazo na wengine waliokufa wakiamini ulikuwa mwenzao na kujitoa uhai wao in order to show solidarity with you.
Warudishe watoto wa watu.
Huyu alimtetea sana Mbowe na kuwaponda akina Lissu.Usiwaamini sana wapiga kelele, huwa wanafanya hivyo kutegemeana na mdundo wa ngoma...
Hapana usimuonee na kumsingizia Mbowe kiasi hiki..Salaam zangu kwako ni hizo. Nilikupenda sana kama mpigania uhuru kumbe MPIGANIA TUMBO.
WARUDISHE BEN SAANANE , Mawazo na wengine waliokufa wakiamini ulikuwa mwenzao na kujitoa uhai wao in order to show solidarity with you.
Warudishe watoto wa watu.
Umesema sahihi kabisaHapana usimuonee na kumsingizia Mbowe kiasi hiki..
Wakulaumiwa ni waliohusika kuwadhuru hao vijana.
Kijana wa "Mwanahalisi" alivyo sema Mbowe anajua alipo saa8 vijana wa makengeza walimvaa kwa matusi na kashifa za kutisha. Kijana akapoteza nuru kwenye chama...Mbowe anajua akina Ben Saa8 na wote waliotekwa wako wapi na wameuwawa vipi. Mzee senge sana yule
STOP THIS NONSENSE. THESE WERE FIGHTING FOR THEIR DEMOCRATIC ENDEVOURS UNDER THE LEADERHIP OF MBOWE, WHILE MBOWE HIMSELF WAS A TRAITOR, CCM ACCOMPLICEHili ni funzo kwa kila kijana anaetumia mihemko kuwaamini wanasiasa
Elon MuskHakuna Mwanaharakati tajiri.
Hamtaki kuambiwa ukweli mtakufa wengi na siasa zenu za mihemkoSTOP THIS NONSENSE. THESE WERE FIGHTING FOR THEIR DEMOCRATIC ENDEVOURS UNDER THE LEADERHIP OF MBOWE, WHILE MBOWE HIMSELF WAS ATRAITOR, ccm ACCOMPLICE
Nonsense, akili za kutumia. Polisi kuua wapinzani! NonsenseHamtaki kuambiwa ukweli mtakufa wengi na siasa zenu za mihemko
Siasa sio vita ni akili