Mbowe: Ununuzi wa ndege siyo kipaumbele sahihi kwa nchi yetu zaidi ya Elimu, Afya na Miundombinu!

Mbowe: Ununuzi wa ndege siyo kipaumbele sahihi kwa nchi yetu zaidi ya Elimu, Afya na Miundombinu!

Muulize Kuna lingine kasahau kulizungumzia?
 
Serekali ilitakiwa kutengeneza viwanja vya ndege kila mkoa alafu kuomba mfano mashilika binafsi ya ndege bwana njoeni mlete huduma viwanja vipo sisi ni kodi tu tunataka.unazani kungekuwa na ndege ngapi zinazoenda mikoani na nauli ingekuwa nzuri .maana ndege za ndani zipo mbili tu ATCL na precision air.
 
Na Huu ndio Umasikini wa Fikra ulitaka ndege ya Biashara iwe Nauli za daladala?

Wakati Mwingine mambo ya msingi msitoe mawazo kama haya ni aibu kwenu.

Marekani wana ndege 1200 za shirika lao ila wapo watu hawana hata sehemu ya kulala

Mtanzania anayeishi chini ya Dola 1 ya Tsh 2300 kwa siku ambao ni wengi anawezaje kumudu ticket ya ndege ya 230k hadi 300k ?
Taja hilo shirika acha kutuletea uwongo. Mashirika yote ya ndege America ni private. Yako karibia 90, makubwa zaidi ni Delta Air Lines, American Airlines, na United Airlines, yote ya kibinafsi.
 
Marekani wana ndege 1200 za shirika lao ila wapo watu hawana hata sehemu ya kulala
Uwongo mwingine ni pale unaposema kuna watu hawana sehemu ya kulala. Angalia GDP ya kwao ulinganishe na ya kwetu. Ktk nchi yoyote duniani huwezi kukosa wahuni na wasio na akili wasiotaka kufanya kazi, wanaamua kulala kwny mitaro hiyo ni sehemu ndogo sana ya jamii (negligible). Ni tofauti na Tz ambapo unataka kufanya kazi, kazi hakuna. Unafanya kazi kipato duni. Kwa hiyo, generally speaking, hao masikini unaofikiria America hawapo.
 
Mbowe pia kabla ya 2015 alikuwa anapiga kelele kwamba kwanini tz haina ndege?

Hawa watu vichwa vyao empty kabisa
 
Bwashee hapo kwenye mbinu za kisasa kuhimili ushindani wa soko amejibu nini cha maana?

Acheni kukimbia kimbia kama watoto.
Ingefaa pia msemaji apite hapa atupatie mrejesho, tangu hizo ndege zinunuliwe mpaka leo tumepata faida kiasi gani? Hivi tuna external routes ngapi? Nakumbuka ile ya SA baada ya mzungu kukamata ndege ilikufa. Je domestic routes tuna operate full capacity? Au bombardier nyingine tumepark? Sasa mtu anapohoji anafikiria mambo kama je, kabla ya manunuzi tulifanya feasibility study/market survey? Tulijiandaa kiutaalamu upande wa watumishi? Je badala ya kununua idadi hiyo tusingeanza na chache, halafu tukaendelea kutatua changamoto nyingine? Anapotokea mkosoaji asikilizwe, tutumie mawazo yake kufanya marekebisho.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema kununua ndege siyo kipaumbele sahihi kwa maendeleo ya nchi yetu ukilinganisha na Elimu, Afya na Miundombinu.

Mbowe amesema uwekezaji kwenye ATCL unahitaji mtaji mkubwa, utaalamu uliotukuka kwa watu wetu na mbinu za kisasa kuhimili ushindani wa soko.

Hata hivyo msemaji wa serikali Dr Abbas amesema serikali kuwekeza katika ndege haimaanishi kuwa imeacha kuwekeza katika maeneo mengine.

Source BBC Dira ya Dunia

My take: Naona Mbowe ana hoja na Dr Abbas ameipangua kiufasaha.

Maendeleo hayana vyama!
Hapo ndio unajua tulikuwa na upinzani wa aina hipi,wakina Mbowe na genge lake na akina Lema na Zitto kila siku walikuwa wakisimama bungeni nikutukana serikali ya ccm,kuwa hawana vision nchi inazidiwa na nchi ndogo ya Rwanda ina ndege zake.Sasa hivi Magufuri alivyoingia tu madarakani akasikiliza kilio chao kanunua hizo ndege, sasahivi wanaziponda tena kuwa azifahi,kuwa angewekeza kwenye miradi mingine wakati akuna mradi wowote ambao umesimama kwa kuathiliwa na ununuzi wa hizo ndege.Mwacheni Magufuri atimize ahadi zake nanyi mkipata nafasi mfanye muonavyo.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema kununua ndege siyo kipaumbele sahihi kwa maendeleo ya nchi yetu ukilinganisha na Elimu, Afya na Miundombinu.

Mbowe amesema uwekezaji kwenye ATCL unahitaji mtaji mkubwa, utaalamu uliotukuka kwa watu wetu na mbinu za kisasa kuhimili ushindani wa soko.

Hata hivyo msemaji wa serikali Dr Abbas amesema serikali kuwekeza katika ndege haimaanishi kuwa imeacha kuwekeza katika maeneo mengine.

Source BBC Dira ya Dunia

My take: Naona Mbowe ana hoja na Dr Abbas ameipangua kiufasaha.

Maendeleo hayana vyama!
Haoja ya Mbowe haijajibiwa.
 
@johnthebabtist "Mbowe ana hoja" na "Dr Abbas kaipangua kiufasaha"

Tuchukue hoja ya Mbowe au tuchukue hoja ya mpanguaji!!??
 
Mbowe ni mfanyabiadhsra anajua anachokisema ambacho ni ukweli mtupu, huyo Msemaji wa Serikali anafanya kazi yake ya kusema tu kama ilivyo kwa wote wa Awamu hii ya maneno bila vitendo. Mfanyabiadhara kwa kuangalia mahitaji anaamua alete bidhaa gani, wakati gani na kwa ajili ya wateja gani na bidhaa ikishapokewa haifungiwi stoo, kama yale madege yamepark pale miaka na miaka yakingoja wateja, bali atawapelekea wateja wake ambao watamlipa fedha yake ya kuleta bidhaa tena.

Musukuma Bus Service akiona kuna haja ya kuongeza Bus jingine, kabla hata ya kuagiza, ataanza kulitafutia ruti yenye abiria wengi na ni wakati gani abiria ni wengi na hiyo ndo itampa ishara lini Bus lifike na la ukubwa gani ili likifika tu linaingia kazini. Wenye PhD wanajua watu husafiri kwa ndege kwa hiyo zinanunuliwa nyingi tu, zikipokelewa kwa mbwembwe na kujisifu, wanaanza kuunda Kampuni ya Ndege lakini inagundulika kutahitajika Uwanja wa nyumbani kwa hiyo unaanza kujengwa huku juhudi za kutafuta ruti zenye abiria wengi zinaanza na zinaendelea hadi leo. Musukuma Bus Service inachanja mbuga bila wasiwasi, madege yakiwa yamepark tu, mengine yakisubiriwa!
Wewe unaongea kitu ambacho ukijui aujawahi kumiliki hata bodaboda,uwezi omba route yeyeto basipo kuwa chombo ambacho unakiombea route kama unabisha nenda hapo ratila uombe route ya kwenda mfno kwenda tegeta/kkoo watakuliza gari hilo unaloliombea route liko wapi?usipo lionyesha wanakuona kama kichaa tu,hivohivo hata kwenye ndege kuko hivo uwezi enda TAA kuomba route auna ndege.Magufuri yuko sahii kuanza na ndege route badae,akuna biashara isiyo na changamoto.
 
Mbowe si ni yule mwenyekiti wa chama kisichokuwa na angalau kiwanja cha kujenga makao makuu licha ya kupata ruzuku za mamilioni kila mwezi? Sasa huyo ndo aje atupangie vipaumbele vya kitaifa?! Ama kweli nyani haoni 'nyuma yake'!
Hivi Mbowe ana hata 1% ya shida ulizonazo wewe?? Yeye hizo ndege anazipanda sana, sasahivi yuko Dubai anakula maisha huko, wewe uko wapi sasahivi?? Umeshapanda hizo ndege mara ngapi?
 
Naona Mbowe sasa akili imerudi anaongelea maendeleo ya vitu

njia ya mwongo fupi.Sasa kampeni za uchaguzi 2020 kwa nini walipinga maendeleo ya vitu?
You are missing a point from Mbowe. Hujamuelewa. Usikimbilie kukomenti, soma uelewe kwanza.
 
Hahahaaaa...... Tunataka kusikia hoja yako bwashee!
Nadhani huyo aliyepangua hoja za Mbowe unajua sababu za kufanya hivyo. Nafsi yake inajua Mbowe yuko sahihi, lakini sasa atafanyaje?? Hata ungekua wewe utafanyaje?? Hata ningekua mimi nitafanyaje??

Enzi za Mwalimu, wapo viongozi walioweza kusimamia ukweli wao lakini siyo sasahivi.

Hizo ndiyo hoja zangu kwa ufupi kabisa Bwasheee johnthebaptist
 
Hivi Mbowe ana hata 1% ya shida ulizonazo wewe?? Yeye hizo ndege anazipanda sana, sasahivi yuko Dubai anakula maisha huko, wewe uko wapi sasahivi?? Umeshapanda hizo ndege mara ngapi?
Bwashee, tunazungumzia vipaumbele, wewe ulivyo mchovu wa kufikiri (lazima utakuwa mfuasi wa msepaji) umeshaifanya personal. Amka wewe usinziaye!
 
Mtanzania anayeishi chini ya Dola 1 ya Tsh 2300 kwa siku ambao ni wengi anawezaje kumudu ticket ya ndege ya 230k hadi 300k ?
Usipopanda wewe ndege atapanda boss wako,,ndio maana kuna baiskeli, bodaboda, bajaji, taxi, daladala, mabasi, private cars, treni, malori na ndege hizo zote watu wanapanda .kila mtu apambane na hali yake
 
Mbowe si ni yule mwenyekiti wa chama kisichokuwa na angalau kiwanja cha kujenga makao makuu licha ya kupata ruzuku za mamilioni kila mwezi? Sasa huyo ndo aje atupangie vipaumbele vya kitaifa?! Ama kweli nyani haoni 'nyuma yake'!
Wana ma pickup double cabin yameandikwa M4C halafu ofisi zao za makao makuu kama choo cha makumbusho stand
 
Back
Top Bottom