Pre GE2025 Mbowe Usikubali Kuachia Chama Ulichokipigania Kwa Jasho, Damu na Fedha kwa Mhamiaji wa NCCR-Mageuzi, kama ni rahisi Akaanzishe Chake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kunguni wa mama Abdul mmeanza lini kumshabikia mtu mliyemuita Mugabe?

Mpo busy na Mbowe wakati chama chenu mwezi wa 5 sasa hamna makamu mwenyekiti na mnasema mwakani fomu ni moja tu sasa maamuzi ya kimugabe ni ya chama gani?

Kunguni ni kunguni tu!
 
Mnaharibia sana
 

View: https://x.com/MwanaHabariNews/status/1869377455506731291?t=vDeWJfRySAWVwIIHmm2fTw&s=19
Chama kina wenyewe kina Mbowe sio chama Cha wahamiaji harafu na vibaraka wa kina Amsterdam 🤣🤣
Nasema hivi, mabadiliko yakifika yamefika tu, hizo siasa za hadaa za kualika watu nyumbani ni za kiccm, ndio Lowassa nk walikuwa wanatumia. Lisu hahitaji kundi kubwa la kuhonga, yeye yuko na sisi waumini wa kweli wa mabadiliko. Na kwa taarifa yako Lisu hahitaji kuwa cdm ili kufanya hizo siasa za hadaa, kama huamini, Lipumba pia alijidanganya akawa nje ya siasa za kweli, Maalim Seif aliondoka na kundi zima la wafuasi wa CUF, Lipumba akabaki lipumbavu. Na Mbowe akibugi akawa nje ya mabadiliko imekula kwake.
 
Waliodai vieteli hazifai wanatafita hizo hizo Vieteli 😆😆😆👇👇

View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1869111676286767327?t=tcdd-gcio4vQtS2bscWI8Q&s=19
 
Hivi mnamwonaje Mwenyekiti Mbowe? Mnaamini ni punguani kama ninyi? Yaanimnaaminikuwa Mbowe amekosa watu wenye akili timamu wa kumshauri mpaka akachukue ushauri kutoka kwa mapunguanichawawa Samia?

Mbowe ana akili na hekima, atachukua maamuzi kwa kuzingatia mambo mengi, na zaidi ni maslahi ya Taifa, chama na Watanzania wenye dhamira njema.

Njama zenu Mbowe anazitambya sana. Ninyi machawa ya mama, leo mnajifanya marafiki wa Mbowe, kumbe dhamira zenu ni chafu. Lengo ni kutaka lumchafua Mbowe ili ionekane washauri wake ni majitu punguani kutoka Chama Cha Mashetani.
 
Shtuka. Huoni machawa wote wanamtaka mbowe
Hiyo haiondoi ukweli kuwa zama za Mbowe zimeisha. Umesahau pia Lipumba alishinda akiwa CUF? Uliona kilichoipata CUF baada ya Maalim Seif kuondoka? Zama za siasa za kulindwa na machawa zimepita boss.
 
Acha povu jadili hoja ndio maana mnatukanana Kwa sababu hamnaga hoja nyumbu nyie
 
Ccm Tundu Lissu kawashikeni pabaya sana. Mbaya zaidi MBOWE jumamosi atamuunga rasmi mkono Tundu Lissu kwa kutogombea nafasi ya Mwenyekiti
 
Hata mimi Mwenyewe nitamshangaa sana Mbowe akimwachia lissu chama ili akiharibu kwa kushirikiana na wanaharakati uchwara waliokosa muelekeo na Dira. Embu fikiria eti akina SATIVA ndio wafadhili wa pesa ya kuchukulia Fomu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…