Pre GE2025 Mbowe Usikubali Kuachia Chama Ulichokipigania Kwa Jasho, Damu na Fedha kwa Mhamiaji wa NCCR-Mageuzi, kama ni rahisi Akaanzishe Chake

Pre GE2025 Mbowe Usikubali Kuachia Chama Ulichokipigania Kwa Jasho, Damu na Fedha kwa Mhamiaji wa NCCR-Mageuzi, kama ni rahisi Akaanzishe Chake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hoja ya kijinga sana,kama CCM inajua siasa mbona inaiba kura na kuharibu Chaguzi au kuwa Chama cha Mapolisi ndiyo kujua Siasa hata Chama cha BAATH cha Assad wa Syria kilikuwa kinajifanya kujua Siasa lakini leo kiko wapi?
Ndio sehemu ya saisa hiyo na wewe na chama chako si muibe ? 😂

SSH Amewakomesha.
 
Mbowe atakuwa hazimtoshi kama atakubali kuachia Chama Kwa mhamiaji haramu ambao anatumikishwa na wanaharakati njaa, Mabeberu na Amsterdam Kwa maslahi ya mashoga.

Ikumbukwe huyo bwana anafadhiliwa na vibaraka walioko Nje ya Nchi alikoficah familia yake.Hajui jioni Wala uchungu wa hicho chama,alihamia akakikuta Kiko on fire na angeweza enda Vyama vingine Kwa nini aje kuleta upuuzi Chadema?

Kama Mbowe atabwaga Manyanga hiyo jumamosi basi wewe utakuwa ni mtu dhaifu na kamanda uchwara kuachia Chama Kwa mateka wa wahuni wa Nje ya Nchi.Uchonge kinyago Mwenyewe harafu utishike nacho?

Kama anaona ni rahisi kukuza chama Kwa zaidi ya miaka 20 basi Akaanzishe chake sio.kudandia chama Cha mwingine.


View: https://x.com/Mwanahalisitz/status/1869377470366916616?t=fviDIMRMPdhIkO5LebFmnw&s=19

My Take
Nafurahia sana haya Machadema yanavyozodoana ,kudhalilishana na kuumbuana.

Sasa tumefahamu waliodai wanataka kuwakomboa Watanzania kumbe wanatakiwa wakombolewe wao 🤣🤣🤣🤣🤣.

Laana ya kumtukana Samia itawatafuna sana Hadi muwe kama CUF.


View: https://x.com/MwanaHabariNews/status/1869332440990503312?t=oyvIaEAx8Q2sOdwc_zQxRw&s=19

Haya mahaba ghafla mmeyatoa wapi na mbowe?
Mbona hii ndoa ina bashasha sana?
 
Back
Top Bottom