imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Mwingine akijaribu eidha atalogwa au kupewa sumu.Ccm fomu ya mwenyekiti ni Moja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwingine akijaribu eidha atalogwa au kupewa sumu.Ccm fomu ya mwenyekiti ni Moja tu
CCM ni taasisi Ina utaratibu wake ambao ni lazima uheshimiwe sio chama Cha makambake kama huko kwenuMwingine akijaribu eidha atalogwa au kupewa sumu.
CCM ni Parasite.CCM ni taasisi Ina utaratibu wake ambao ni lazima uheshimiwe sio chama Cha makambake kama huko kwenu
SSH Amewakomesha 👇👇CCM ni Parasite.
Ndio sehemu ya saisa hiyo na wewe na chama chako si muibe ? 😂Hoja ya kijinga sana,kama CCM inajua siasa mbona inaiba kura na kuharibu Chaguzi au kuwa Chama cha Mapolisi ndiyo kujua Siasa hata Chama cha BAATH cha Assad wa Syria kilikuwa kinajifanya kujua Siasa lakini leo kiko wapi?
Mbowe atakuwa hazimtoshi kama atakubali kuachia Chama Kwa mhamiaji haramu ambao anatumikishwa na wanaharakati njaa, Mabeberu na Amsterdam Kwa maslahi ya mashoga.
Ikumbukwe huyo bwana anafadhiliwa na vibaraka walioko Nje ya Nchi alikoficah familia yake.Hajui jioni Wala uchungu wa hicho chama,alihamia akakikuta Kiko on fire na angeweza enda Vyama vingine Kwa nini aje kuleta upuuzi Chadema?
Kama Mbowe atabwaga Manyanga hiyo jumamosi basi wewe utakuwa ni mtu dhaifu na kamanda uchwara kuachia Chama Kwa mateka wa wahuni wa Nje ya Nchi.Uchonge kinyago Mwenyewe harafu utishike nacho?
Kama anaona ni rahisi kukuza chama Kwa zaidi ya miaka 20 basi Akaanzishe chake sio.kudandia chama Cha mwingine.
View: https://x.com/Mwanahalisitz/status/1869377470366916616?t=fviDIMRMPdhIkO5LebFmnw&s=19
My Take
Nafurahia sana haya Machadema yanavyozodoana ,kudhalilishana na kuumbuana.
Sasa tumefahamu waliodai wanataka kuwakomboa Watanzania kumbe wanatakiwa wakombolewe wao 🤣🤣🤣🤣🤣.
Laana ya kumtukana Samia itawatafuna sana Hadi muwe kama CUF.
View: https://x.com/MwanaHabariNews/status/1869332440990503312?t=oyvIaEAx8Q2sOdwc_zQxRw&s=19
Ghafla majambazi yamempenda jambazi mwenzaoNdio sehemu ya saisa hiyo na wewe na chama chako si muibe ? 😂
SSH Amewakomesha.