Mbowe atakuwa hazimtoshi kama atakubali kuachia Chama Kwa mhamiaji haramu ambao anatumikishwa na wanaharakati njaa, Mabeberu na Amsterdam Kwa maslahi ya mashoga.
Ikumbukwe huyo bwana anafadhiliwa na vibaraka walioko Nje ya Nchi alikoficah familia yake.Hajui jioni Wala uchungu wa hicho chama,alihamia akakikuta Kiko on fire na angeweza enda Vyama vingine Kwa nini aje kuleta upuuzi Chadema?
Kama Mbowe atabwaga Manyanga hiyo jumamosi basi wewe utakuwa ni mtu dhaifu na kamanda uchwara kuachia Chama Kwa mateka wa wahuni wa Nje ya Nchi.Uchonge kinyago Mwenyewe harafu utishike nacho?
Kama anaona ni rahisi kukuza chama Kwa zaidi ya miaka 20 basi Akaanzishe chake sio.kudandia chama Cha mwingine.
View: https://x.com/Mwanahalisitz/status/1869377470366916616?t=fviDIMRMPdhIkO5LebFmnw&s=19
My Take
Nafurahia sana haya Machadema yanavyozodoana ,kudhalilishana na kuumbuana.
Sasa tumefahamu waliodai wanataka kuwakomboa Watanzania kumbe wanatakiwa wakombolewe wao 🤣🤣🤣🤣🤣.
Laana ya kumtukana Samia itawatafuna sana Hadi muwe kama CUF.
View: https://x.com/MwanaHabariNews/status/1869332440990503312?t=oyvIaEAx8Q2sOdwc_zQxRw&s=19