Pre GE2025 Mbowe Usikubali Kuachia Chama Ulichokipigania Kwa Jasho, Damu na Fedha kwa Mhamiaji wa NCCR-Mageuzi, kama ni rahisi Akaanzishe Chake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Mbowe atakuwa hazimtoshi kama atakubali kuachia Chama Kwa mhamiaji haramu ambao anatumikishwa na wanaharakati njaa, Mabeberu na Amsterdam Kwa maslahi ya mashoga.

Ikumbukwe huyo bwana anafadhiliwa na vibaraka walioko Nje ya Nchi alikoficah familia yake.Hajui jioni Wala uchungu wa hicho chama,alihamia akakikuta Kiko on fire na angeweza enda Vyama vingine Kwa nini aje kuleta upuuzi Chadema?

Kama Mbowe atabwaga Manyanga hiyo jumamosi basi wewe utakuwa ni mtu dhaifu na kamanda uchwara kuachia Chama Kwa mateka wa wahuni wa Nje ya Nchi.Uchonge kinyago Mwenyewe harafu utishike nacho?

Kama anaona ni rahisi kukuza chama Kwa zaidi ya miaka 20 basi Akaanzishe chake sio.kudandia chama Cha mwingine.

View: https://x.com/Mwanahalisitz/status/1869377470366916616?t=fviDIMRMPdhIkO5LebFmnw&s=19

My Take
Nafurahia sana haya Machadema yanavyozodoana ,kudhalilishana na kuumbuana.

Sasa tumefahamu waliodai wanataka kuwakomboa Watanzania kumbe wanatakiwa wakombolewe wao 🤣🤣🤣🤣🤣.

Laana ya kumtukana Samia itawatafuna sana Hadi muwe kama CUF.

View: https://x.com/MwanaHabariNews/status/1869332440990503312?t=oyvIaEAx8Q2sOdwc_zQxRw&s=19
 
Kwani cdm kakianzisha Mbowe? Cdm ndio imebaki tunaweza kuona ushindani wa kisiasa. Siasa za nchi zimeshanajisiwa na chama kizee, kimebaki kutegemea dola pekee. Muda wa mabadiliko umefika, hatuhitaji siasa za hadaa, Mbowe arudishe pesa za chama cha majizi, vinginevyo anaenda kudhalilika.
 
Kwa hali hii basi hata nyinyi mafisadi lukuki mliojazana CCM, hamustahili kuendelea kubakia ndani ya chama. Na badala yake hicho chama mngekikabidhi kwa watoto wa Nyerere na waasisi wengine.
 
View: https://x.com/MwanaHabariNews/status/1869377455506731291?t=vDeWJfRySAWVwIIHmm2fTw&s=19

Chama kina wenyewe kina Mbowe sio chama Cha wahamiaji harafu na vibaraka wa kina Amsterdam 🤣🤣
 
Kwa hali hii basi hata nyinyi mafisadi lukuki mliojazana CCM, hamustahili kuendelea kubakia ndani ya chama. Na badala yake hicho chama mngekikabidhi kwa watoto wa Nyerere na waasisi wengine.
Mhamiaji haramu amesema huko Chadomo Kuna Wala rushwa na majizi ni kweli au si kweli?
 
Mbowe atakuwa hazimtoshi kama atakubali kuachia Chama Kwa mhamiaji haramu ambao anatumikishwa na wanaharakati njaa, Mabeberu na Amsterdam Kwa maslahi ya mashoga.

Ikumbukwe huyo bwana anafadhiliwa na vibaraka walioko Nje ya Nchi alikoficah familia yake.Hajui jioni Wala uchungu wa hicho chama,alihamia akakikuta Kiko on fire na angeweza enda Vyama vingine Kwa nini aje kuleta upuuzi Chadema?

Kama Mbowe atabwaga Manyanga hiyo jumamosi basi wewe utakuwa ni mtu dhaifu na kamanda uchwara kuachia Chama Kwa mateka wa wahuni wa Nje ya Nchi.Uchonge kinyago Mwenyewe harafu utishike nacho?

Kama anaona ni rahisi kukuza chama Kwa zaidi ya miaka 20 basi Akaanzishe chake sio.kudandia chama Cha mwingine.

View: https://x.com/Mwanahalisitz/status/1869377470366916616?t=fviDIMRMPdhIkO5LebFmnw&s=19

My Take
Nafurahia sana haya Machadema yanavyozodoana ,kudhalilishana na kuumbuana.

Sasa tumefahamu waliodai wanataka kuwakomboa Watanzania kumbe wanatakiwa wakombolewe wao 🤣🤣🤣🤣🤣.

Laana ya kumtukana Samia itawatafuna sana Hadi muwe kama CUF.

View: https://x.com/MwanaHabariNews/status/1869332440990503312?t=oyvIaEAx8Q2sOdwc_zQxRw&s=19

Saa hizi unamtetea Mbowe?Kweli wanafiki na wachonganishi hawana kibuyu kinachowatosha kujibanza.Kwa mfano mmojawapo akishinda uenyekiti CDM wewe sisyemu unafaidika nini?.😂😂😂😂😂
 
Kwani cdm kakianzisha Mbowe? Cdm ndio imebaki tunaweza kuona ushindani wa kisiasa. Siasa za nchi zimeshanajisiwa na chama kizee, kimebaki kutegemea dola pekee. Muda wa mabadiliko umefika, hatuhitaji siasa za hadaa, Mbowe arudishe pesa za chama cha majizi, vinginevyo anaenda kudhalilika.
Shtuka. Huoni machawa wote wanamtaka mbowe
 
Mbowe atakuwa hazimtoshi kama atakubali kuachia Chama Kwa mhamiaji haramu ambao anatumikishwa na wanaharakati njaa, Mabeberu na Amsterdam Kwa maslahi ya mashoga.

Ikumbukwe huyo bwana anafadhiliwa na vibaraka walioko Nje ya Nchi alikoficah familia yake.Hajui jioni Wala uchungu wa hicho chama,alihamia akakikuta Kiko on fire na angeweza enda Vyama vingine Kwa nini aje kuleta upuuzi Chadema?

Kama Mbowe atabwaga Manyanga hiyo jumamosi basi wewe utakuwa ni mtu dhaifu na kamanda uchwara kuachia Chama Kwa mateka wa wahuni wa Nje ya Nchi.Uchonge kinyago Mwenyewe harafu utishike nacho?

Kama anaona ni rahisi kukuza chama Kwa zaidi ya miaka 20 basi Akaanzishe chake sio.kudandia chama Cha mwingine.

View: https://x.com/Mwanahalisitz/status/1869377470366916616?t=fviDIMRMPdhIkO5LebFmnw&s=19

My Take
Nafurahia sana haya Machadema yanavyozodoana ,kudhalilishana na kuumbuana.

Sasa tumefahamu waliodai wanataka kuwakomboa Watanzania kumbe wanatakiwa wakombolewe wao 🤣🤣🤣🤣🤣.

Laana ya kumtukana Samia itawatafuna sana Hadi muwe kama CUF.

View: https://x.com/MwanaHabariNews/status/1869332440990503312?t=oyvIaEAx8Q2sOdwc_zQxRw&s=19

Bora Lissu achukue kwa kweli,
 
Ccm fomu ya mwenyekiti ni Moja tu
 
Ccm fomu ya mwenyekiti ni Moja tu
Ndio maana CCM inaheshimu utaratibu na hakuna kambale kule kama huko Kwa wahuni wanajenga Majina ya watu badala ya taasisi.

CCM fomu ni 1 na hutosikia wakiropoka Wala kugombana
 
Back
Top Bottom