Mbowe usimwachie Lissu chama kwa utovu huu wa nidhamu, afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono yako na wananchi wenye nidhamu

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!

Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.

TULIPOFIKIA SASA YOU ARE THE LAST LINE OF DEFENCE (MSEMO WAKO)
 
Haha atakufa akitamka neno "peoples power" huku power iko mikononi mwake, not on people's hands

Mnaimba Demokrasia ila uhalisia mchungu hakuna demokrasia ndani ya CHADEMA.

Unaongoza chama 20 years na bado unaona Tanzania nzima more than 60 million people hakuna mrithi

Inakuwaje kiongozi kama hujaandaa wa kukurithi

Kama mdau wa Demokrasia naumia mno. .
 
Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!
Namuunga mkono mbowe, akiachia chama ndo mwisho wa chadema.

Lisu hawezi kuelewana na wenzie ktk siasa, kama anaweza kutukana viongozi wakuu wa nchi akiwa hana mamlaka ya juu ktk upinzani akiwa mwenyekiti atazua tafrani na mamlaka hazitamvumilia.
Namsihi mama atumie instruments zake zite ku mu eliminate lisu toka kwenye siasa abaki mropokaji mtaani
 
Kama kuiba kura iba kura usimwachie Lisu chama. Fanya umafia wowote.. Utajuta kuzaliwa
 
Back
Top Bottom