Mbowe usimwachie Lissu chama kwa utovu huu wa nidhamu, afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono yako na wananchi wenye nidhamu

Mbowe usimwachie Lissu chama kwa utovu huu wa nidhamu, afadhali kifie mikononi mwako maana kilitokana na mikono yako na wananchi wenye nidhamu

Homeboy, pole sana.
Kuanzia tarehe 21, tafuta kazi nyingine ya kufanya. Nyinyi ndio mlizoea kula kupitia mgongo wa Chaimen. Time is up man. #No reform no election begins at home.
Fine for your information..... nilimaliza UDSM 1983...siwezi kuwa nakula kwa Mbowe/chadema....you can guess my age!
 
Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!

Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
Hata kwa gharama ya kukiua hicho chama?
 
Wala hakuna anayebishana kwasababu hivi vyama vilianzishwa na watu na vitapita.Ninachokisema mimi ni kumbagaza mbowe bila ushahidi kwa mambo yanayozungumzwa na wapinzani wake.Hiyo sio sawa kwa mtu anayejielewa.mtu ahukumiwe kwa haki.Uko kwenye kura wahusika watajua wenyewe kwasababu hizo ni siasa tu na zitapita.
LISU ANAWASINGIZIA WENZAKE.......particularly Mbowe.
 
Naona John Heche amechafua kabisa hali ya hewa baada ya kutangaza kugombea, na pia kumuunga mkono Lissu.
Na maneno aliyosema leo, Lazima huko ccm wanawafikiria wakurya wa Tarine, maana kasema lazima wauze dhahabu watu watajilike. Sasa wawekezaji na ccm kazi wanayo sana kwa sasa kuukabili huu moto wake na Lissu.
 
Wala hakuna anayebishana kwasababu hivi vyama vilianzishwa na watu na vitapita.Ninachokisema mimi ni kumbagaza mbowe bila ushahidi kwa mambo yanayozungumzwa na wapinzani wake.Hiyo sio sawa kwa mtu anayejielewa.mtu ahukumiwe kwa haki.Uko kwenye kura wahusika watajua wenyewe kwasababu hizo ni siasa tu na zitapita.
Mbowe yupo mwache ajitetee mwenyew

Ukituhumiwa wewe unasimama unanijetetea sio kutetewa na watu wengine

Ila sasa mimi ni mwanachama wa Demokrasia. Kwa mafasi ya mwenyekiti wemgine washike kijiti apumzike
 
Hafai kabisa
Kwanini? Kuropoka ndio kufaa? N! Ataropoka watammaliza. Kuna mazingira na mazingira ya kufanya kila kitu. Hawatamvumilia tena... na hatakosea kama alivyosema mama kuwa askari wake hawawezi kukosea...

Tunatoa angalizo!
 
Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!

Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
Hakuna mtu ambaye anaweza kukifuta CHADEMA kwa sababu ukikifuta CDM unakaribisha ugaidi, Na wajuzi wa sayansi ya siasa hawezi wakashauri jambo kama hilo, vyama hivi huwa vinapandikizwa vita vya wenyewe kwa wenyewe vinjifia vyenyewe, Mbowe kwa Sasa hawezi kukiendesha chama cha CDM kwa ufanisi kwa sababu ameshafika bei na hivi sasa anaendeshwa kama mwanasesere. Mbowe amegeuga dubu kwa wanawe ameaza kuwatafuna. Kwa Kama CDM itazorota huwezi kupata Cham a kingine Chochote kwa Mda mfupi chenye nguvu kama CDM na watu wasijaribu kabisa kukimbilia ACT, hicho chama ni Chama cha mikati ila si chama chakuchukua nchi.
 
huu ndio ujinga. Ukifika hapa huna haja ya kusoma zaidi kinachofuata
Hata mimi nilikuwa siamini kama wewe na nilikuwa nabishana mpaka dakika za mwisho. Ila inasikitisha sana hata sipendi niamini lakini ndiyo hivyo ilivyo
 
Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!

Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
Watamwachia Saccos yake usijari,ni mtu mpbavu tu ambaye hawezi kuona uzalendo, ujasiri,na ukweli wa Tundu Lissu,

Huyu ndo mwanasiasa pekee Tanzania aliye jitokeza hadharani sakata la Escrow Kwa kutaja majina na account zilizo tumika kula mgao bila ya woga wowote sio mtu wa kawaida
 
Kwa mwendo huu wa Lisu, atakiuza chama kwa Msigwa. Usiachie chama , lilwalo na liwe. Aanzishe chake na Heche wake!

Na kwa kuropoka kwake, kutokuwa na kaba ya ulimi dola itakifuta. Samia atakifuta kwa sababu ambazo kila mmoja atazikubali na si kukionea.
mzee na wewe umekumbwa na homa ya lissu?
 
Back
Top Bottom